Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, May 28, 2014

SERENA WILLIAM ATUPWA NJE MASHINDANO FRENCH OPEN

 
Bingwa mtetezi wa michuano ya French Open Serena Williams ametolewa katika michuano hiyo na Gabine Muguruza kutoka Spain katika siku ya nne. Mapema dada yake Serena, Venus, alitolewa na Anna Schmiedlova kutoka Slovakia. Hii ni mara ya kwanza kwa Serena kushindwa kuingia katika wiki ya pili ya michuano mikubwa kama mchezaji wa juu. Matumaini ya dada hawa wawili kukutana katika raundi ya tatu sasa hayapo, na itakuwa kati ya Muguruza na Schmiedlova.

No comments: