Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya
CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye
kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam
leo.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment