Mkazi
wa Kyela mkoani Mbeya, Mboka Mwakikagile (20) akiwa na mtoto wake
Godluck Mwangosi katika Hospitali ya Rufaa Meta ya jijini Mbeya baada ya
polisi kumkamata mtu anayedaiwa kumwiba mtoto huyo. Picha ya Maktaba
Dar es Salaam. Kwa
muda mrefu kumekuwapo na taarifa za watoto kupotea katika mazingira
tofauti, huku baadhi yao wakipatikana na kuunganishwa tena na wazazi
wao, lakini wengine hawajaonekana hadi leo.
Wakati wazazi na walezi wa watoto hao wakiwa katika kiza kinene wasijue
nini cha kufanya, serikali na wadau wanaoshughulikia masuala ya watoto
bado hawajapata jibu la swali;
No comments:
Post a Comment