Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.
Mtu mmoja aitwaye Chike ametoa ushahidi kwamba aliona
ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana
kitu kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe um
wonae hapa juu.
Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.
Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.
Baada
ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye hasira kali aliweza kukukiri
kwamba yeye ni mchawi na alikuwa na wenzake ambao walimwacha baada ya
yeye kudondoka ,anasema walikuwa mkutanoni nchini Nigeria na
walipomaliza walianza safari kurudi makwao.
Kikongwe huyu alisema safari yakurudi haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka kwasababu alichoka kuruka
Kikongwe huyu alisema safari yakurudi haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka kwasababu alichoka kuruka
No comments:
Post a Comment