Mwili
wa marehemu Recho aliyekuwa msanii wa bongo muvi na mwili wa mtoto wake
kwa sasa unatolewa katika hospitali ya taifa muhimbili na kupelekwa
nyumbani kwao Sinza, na baadaye viwanja vya leaders club kwa ajili ya
kuagwa
Kwa
mujibu wa mwanahabari Zamaradi Mketema ni kuwa miili hiyo ya marehemu
(Recho na mwanaye itaagwa na ndugu wa karibu kwa dakika chache nyumbani
kwao Sinza na kwenda viwanja vya leaders
Tukio
hilo limeleta simanzi kwa ndugu jamaa na marafiki na vilio ndiyo
vimetawala kwa wasanii wa bongo muvi waliofika muhimbili na kuchukua
marehemu
No comments:
Post a Comment