Warembo wa shindano la Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2012 na vazi la ubunifu.

Ni wewe unanifanya naimba aaaaahhhh…..!!! Msanii wa Amini akitawala jukwaa na madancers wa THT.

 


Baadhi ya Warembo Jukwaani na vazi la ufukweni.Washiriki katika vazi la jioni.