Vice-Chancellor Prof. Idris Rai. aakitiliana saini na Mkurugenzi Mkaazi 
wa Kampuni ya Statoil ya Norway,Mr. Knut Henrik Dalland, makubaliano ya 
kutowa Taaluma ya Kuwajengea Uwezo, katika maswala ya Nishati,Uhandisi 
na Mazingira, makubaliano hayo yamefanyika katika Ofisi za Chuo Kikuu 
cha Taifa Zanzibar Tunguu.
Vice Chancellor Prof. Idris Rai na Mkurugenzi Mkaazi wa Statoil Mr. Knut Henrik, wakibadilishana mikataba baada ya kusaini.
 
 
No comments:
Post a Comment