Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, July 26, 2011

EXCLUSIVE: MFANYAKAZI WA MELI ASUKA DILI LA KUIBA MAFUTA,WANASWA..LIVE!!

Wafanyabiashara wa vyombo vya usafiri majini kupitia ulinzi shirikishi kwakushirikiana na jeshi la polisi Mwanza hivi majuzi katika eneo la Mwanza South wamefanikiwa kukamata watu wanaojihusisha na biashara haramu ya wizi wa mafuta kwa meli zinazopaki mara baada ya kutoka safari.Watuhumiwa wakiwa sambamba na mtuhumiwa namba moja mfanyakazi wa meli hiyo (wa tatu kutoka kushoto)



J-LO AANZA KUTAPATAPA
Jennifer Lopez refuses to let divorce bring down her spirits.
The American Idol judge was spotted shaking what her mama gave her on a yacht in the waters of Florida over the weekend in a bikini.
Jennifer turned 42 over the weekend and spent her birthday having a great time



TOP PIC OF A DAY



MTOTO WA LIL WAYNE AFICHULIWA

Lauren London has made it a point to keep her private life private.  
On the top of that list is making sure that her son, Cameron Carter, with rapper Lil Wayne is not exposed to the media. 
But recently, the rapper hooked up with MTV for a behind the scenes look at the rapper's new video and people thought they caught the first pictures of her baby, but that is not the case.
STORI ILIYOPITA

Lauren London and Lil Wayne were engaged and for all those people who think they know Lil Wayne, Lauren wants you to know, "My son’s father is an intelligent, loving and lovable person who will always be a dear friend."
The "Madea's Big Happy Family" actress sat down for an interview with KathleenCross.com and opened up about her relationship with Lil Wayne.
She set the record straight about all the misconceptions regarding their relationship. It was not a one night stand situation!


JOSE CHAMILIONE AWA CHIZI
 Msanii wa Uganda Josee ni balaa...skiza hii kila kukicha kutengeneza music videos inakua expensive, so artist wanakua wabunifu watoke vipi video ifunike lakini Artist Jose Chamelone aliwaacha hoi fans wake kwenye moja ya video yake hivi karibuni.
Artisat Jose alitafuta location ya soko la Nakasero na kujifanya kama chokoraa na huku mavazi yake yakiwa ya hali ya chini akionekana kama chizi.

No comments: