Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams jana alijiachia katika fukwe za south Beach huko majuu huku akiwa katika bikini ambayo iliwajaza watu wamshangaeshae muda wote.
RETURNs OF THE SUPERMAN
RETURNs OF THE SUPERMAN
Am i bird man or superman!?
My ride..!!
Am on ma way,"Unique model 2011" inarudi tena ikiwa na marekebisho kedekede na mtizamo mpya..!!
WIZ KHALIFA MMHH..!! KADFATA KWA AMBER ROSE
PICHA YA KWANZA YA J-LO BAADA YA TALAKA
It is always business first, personal life later.
Jennifer Lopez was spotted leaving a photo shoot at MILK studios in Hollywood yesterday, following the news that she and husband Marc Anthony are getting a divorce.
The “On The Floor” star was in a six-hour photo shoot and enjoyed some time alone on her lunch break while eating a steak.
Reports say that the divorce between Jennifer and Marc does not come  as a surprise. Both Marc and Jennifer are strong-willed people and both  say what is on their minds.
Check out pictures of the Latina beauty leaving the photo shoot! 
ANGLE-YOUNG BEAUTIFUL GAL
Mtoto Angle ambae ndoto zake nikuwa model na mrembo.
Angle akiwa na mama yake kitaa anafkuangalia blogu hii kila siku.
Beyonce Knowles "can't wait" to start a family.
Solange said: "She will be a great mother, a natural. She will love to start a family. I can't wait, they will be beautiful."
However, while waiting to become a mother of her own, 25-year-old Solange admits Beyonce has a great time as an auntie to her child.
She added to the Daily Mirror: "Beyonce adores  my little boy. She takes him everywhere. We were in Europe a couple of  months ago and he loved being with his auntie."
Meanwhile the Best Thing I Never Had hitmaker - who is currently in the UK on a promotional tour of her new album 4 - is said to have become obsessed with British TV shows, in particular the BBC London-based soap EastEnders.
A source said: "Beyonce finds the accents on EastEnders really  funny. She spends half the time mimicking what they're saying in her  fake British accent."
CIARA
Cuara akiwa miami weekend hii iliyopita akiwa na gauni matata sana.
 Wasanii Paul  na Peter Okoye  ama  P Square toka Nigeria,wametangaza kupiga                      show ya  album concert kwa fans wao walioko nchini Nigeria  Kwa sasa P Square wametoa album 4,Last Nite,Get Squared,Game Over                     na Danger na wako kwenye mishe mishe za kuzindua studio  album yao ya 5,na wanachagua dancers wa kufanya nao mazoezi na dancers  na wameahidi kupiga bonge la show..

Duru za Habari zinasema kuwa Album  ya P-Square itakua na ngoma 10 au 13 na mpaka sasa wameshaachia single  zao 2,Foreevr na Buneiya Enu itazinduliwa tarehe 30th July,2011                  pande za New Expo hall ulilopo Eko Hotel and Suites.
VIONGOZI WA DUNI6 WAQNAUZA DAWA ZA KULEVYA KUJISALIMISHA 
 
 Afisa   Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema   kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja   hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia kubezwa kwa madhehebu   wanayoyaongoza.
Akizungumza   mwishoni mwa ziara yao Visiwani humo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo   Mchungaji William Mwamalanga wa Kanisa la Pentekosti Tanzania, amesema   kuwa orodha hiyo na nyingine ya watu 18 wakiwemo wafanyabiashara wakubwa   na Wanasiasa wanaojihusisha na biashara hiyo haramu zote zitafikishwa   kwa Mkuu wa kitengo cha Polisi cha Kupambana na dawa za Kulevya nchi.
Mchungaji   Mwamalanga amesema kuwa, tatizo la ongezeko la dawa za kulevya pia   inazihusu nchi mbalimbali duniani na kwamba kamati hiyo itakutana na   kamati nyingine kama hizo za nchi za Maziwa Makuu kwa maana ya Afrika ya   Mashariki kuzungumzia ufumbuzi wa suala hilo.
Amesema   mkutano huo pia utapendekeza kwa mabunge ya nchi hizo na Bunge la   Afrika ya Mashariki kutunga sheria za kuwafilisi wale wote   waliojilimbikizia mali kutokana na biasha za dawa za kulevya kwa nchi   wanachama. 
Hata   hivyo Kamati hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Dini na Haki za Jamii  ikiwa  hapa Visiwani, imesifu na kupongeza juhudi za Jeshi la Polisi kwa  hatua  zao za kukabiliana na ongezeko la dawa za kulevya. 
Akizungumzia   kero ya dawa za kulevya visiwani hapa, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini   Magharibi Zanzibar ACP Aziz Juma Mohammed, amesema kuwa Jeshi hilo   limekuwa likiwakamata wengi wa wafanyabiashara na watumiaji wa dawa za   kulevya na kuwafikisha mahakamani.
Hata   hivyo, kamanda Aziz ametoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali wa   usalama kuendelea kusaidiana na Jeshi hilo kwa kutoa taarifa za wale   wote wanaojihusisha na mtandao wa dawa hizo.
Kamanda   Aziz amesema kama kila mwananchi atatoa taarifa za siri Polisi za   kuwepo kwa mtu ama kundi la watu wanaojihusisha na biashara hiyo ama   uhalifu mwingine wowote, ni wazi kabisa kuwa Polisi iyawatia mbaroni.
Wiki   iliyopita watu wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wamekamatwa   kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar kwa nyakati tofauti   wakitokea nchini Brazil ambapo kila mmoja alipatikana na kiasi kikubwa   cha madawa ya Kulevya aina ya Cocaine.
 
 

No comments:
Post a Comment