Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 2011 limemalizika na Miss Baby Love Kalaa(katikati)kuibuka mshindi
Mshindi wa pili katika shindano hili ni Miss Juliana Robinson wa mwili waliosimama.
Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji na kumvisha mshindi wa mwaka huu.
Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Monday, July 9, 2012
Sunday, July 8, 2012
MISS UTALII KINONDONI 2012 YAZINDULIWA RASMI
Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni Bw. M ethuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tAREHE 20 JULAI jijini Dar.
Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .
Washiriki wa shindando hilo.
Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .
Washiriki wa shindando hilo.
WEMA ,WOLPER WAMETOKA SURUHU
| Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao |
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana blogspot.com
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na
Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo
Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa
Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
Thursday, July 5, 2012
MISSS UTALII KAGERA 2012 WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA NA MELI YA MV.VICTORIA

Warembo
wakiingia melini.

Meneja
wa Kampuni ya Kiroyera Tours akitoa maelezo kwa Warembo hawa


baadhi
ya warembo katika pozy.

Muandaaji
wa Onyesho hili Bi Dinna akimshkuru AFISA wa Bandari ndg Msese.

Afisa
wa Bandari Mdau Ajuaye Kheri Msese akiwapa somo walimbwende katika kuwapa uelewa
zaidi wa mambo mbalimbali.

Warembo
wakiwa wamependeza
Wednesday, July 4, 2012
BAUCHA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO.
Pichani ni Producer Baucha.
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
Kwa
mujibu wa SMS yake aliyonitumia saa 9:30 usiku Ally Baucha ambaye ni
mmiliki na producer wa studio za kurekodia muziki maarufu kwa jina la
BAUCHA RECORDS na mara baada ya taarifa hizi nilifanikiwa kuzungumza
naye pia usiku huu huu.
Tuzidi kumwombea kwa Mola amtie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Tuesday, July 3, 2012
KUELEKEA REDDS MISS HIGHER LERNING HAWA NDIO WAREMBO
| Washiriki wa Shindano hilo wakiwa mazoezini walikojichimbia huko Kunduchi jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuelekea mjengoni Dodoma leo asubuhi. |
| Mashindano hayo yanatarajiwa kuwa na mvuto zaidi kutokana na washiriki wake wote kuwa ni wa vyuo vikuu hivyo wanatarajiwa kuweza kufanya mambo makubwa kutokana na uelewa wao. |
MISS SHINYANGA 2012 YAPAMBA MOTO
Warembo wa Miss Shinyanga 2012 itakayorindima wilayani Kahama jumamosi hii ya tarehe 7/07/2013 uwanja wa Taifa Kahama.
Warembo hawa watahusika vilivyo kwa skilz zao, maandari ya eneo
husika kupambwa na taa maalum, stage la uhakika na sound ya mtikisiko
kurindima katika kusapoti burudani na yatakayojiri siku hiyo.
Warembo katika pozi style.com
Coca cola ni moja kati ya wadhamini wakuu wa shughuli nzima.
Waremmbo na kinywaji chao katika pozi
Kutokana na maandalizi yaliyofanywa mpaka sasa na msisimko
unaotajwa kinyang'anyiro hiki kinatajwa kuwavuta mashabiki toka sehemu
mbalimbali nchini wengi wakitaka kushuhudia live bila chenga mpango
mzima utakavyokuwa.
Baadhi ya warembo wa kinyang'anyiro cha miss Shinyanga 2012 wakikulingishia tabasamu zao.
Monday, July 2, 2012
Sunday, July 1, 2012
ENGINEER DEUSDEDIT MALULU NA DORIS KASAKA WAMEREMETA KATIKA NDOA YAO TAKATIFU
Engineer
Deusdedit Malulu akiwa na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, kwa pamoja
wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa Takatifu jana katika kanisa la
Roman Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara.
Engineer
Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga
nae ndoa takatifu jana.
Familia
ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris
Kasaka Malulu na Engineer Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana
jioni.
Maharusi
kwa nyuso za furaha wakipiga picha na Mtoto wao.
Engineer
Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha
ishara ya umoja na mapendo.
Meza
kuu ya Familia ya Engineer Deusdedit Malulu
Meza
kuu ya Wazazi wa Doris Kasaka.
Engineer
Deusdedit Malulu na Doris Kasaka walifunga ndoa takatifu katika kanisa la
Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara jana Tarehe 30/06/2012 na baadae kwenye
Sherehe ya nguvu iliyofanyka katika ukumbi wa Luxery Mbezi Mwisho.
Bwana
harusi ni Mfanyakazi wa Shirika la ugavi wa Umeme (TANESCO) Makao Makuu na Bi
Harusi ni mwajiriwa wa Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ZANTEL Dar es
salaam.
WINFRIDA DOMINIC NDIYE MISS UNIVERSE TANZANIA 2012

Yesterday
night we witnessed the crowning of Miss Universe Tanzania 2012... at
the National Museum Auditorium...the show was on point!!

So....the
gorgeous Winfrida Dominic (center) won the Miss Universe Tanzania 2012
title...while Bahati Chando(left) was First Runners Up, and Dorice
Mollel (right) is Second Runners Up. All the girls have earned a chance
to represent Tanzania in different countries through Miss Universe,
Miss Earth and Miss Queen International.
Subscribe to:
Posts (Atom)











