Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, June 4, 2013

Monday, June 3, 2013

HII NI AIBU KUBWA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUMPATA MISS TABORA


Mh!

Style nyingine..........acha niishie hapa!!


Waheshimiwa nao walishuhudia


Miss Tabora

GEITA WAPATA MSHINDI WA TAJI LA REDD'S 2013, NI SALSHA ISIDORE

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Geita 2013, Salsha Isidore (katikati) akiwa mwenye furaha wakati wa kupiga picha ya pamoja na warembo wenzake Sia Kimambo (kulia) aliyeshika nafasi ya pili na Mshindi wa tatu wa shindano hilo, Nurieth Rashid. Salsha aliwashinda warembo wenzake 12 waliokuwa wakiwania taji hilo pamoja nae.
******      *******
Na Father Kidevu Blog, Geita
MREMBO Salshia Isidore amechaguliwa kuwa Redd’s Miss Geita 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 12 katika shindano lililifanyika Jumamosi  Juni 1,  kwenye ukumbi wa Desire uliopo mjini Geita.

Wengine walioingia nafasi ya tatu bora ni pamoja na Nurieth Rashid aliyeshika nafasi ya tatu na Stella Magerezi alishika nafasi ya pili.

Katika shindano hilo lililosindikizwa na burudani safi kutoka kwa msanii Baby Madaha na Bob Haisa huku mgeni rasmi akiwa ni Mbunge wa Viti Maalum wa Geita Vicky Kamata.

Washindi hao watatu watawakilisha mkoa wa Geita kwenye shindano la Kanda ya Ziwa ili kuwapata washiriki watakaoenda ngazi ya taifa.

Akizungumza na washindi pamoja na warembo wengine kwa ujumla Vicky aliitaka jamii ya watu wa Geita kuyatambua mashindano hayo kuwa ni muhimu na yanasaidia suala la ajira.

Alisema kuwa kupitia mashindano hayo kuna mengi ambayo yanaweza kufanyika kwa kuwa mashindano hayo ni fursa ya kuzungumza na wananchi kuielezea masuala mbalimbali ya kimaisha.

“ Najua kwa sasa hata katika Bunge hili la bajeti kuna mengi ambayo tumeyajadili na kuyapitisha kwa ajili ya vijana na hasa pia kupitia sanaa na hivyo mashindano kama haya yanahusika kabisa” alisema Vicky.

Naye mwandaji wa shindano hilo alisema kuwa washindi hao mshindi wa kwanza amepewa laki tatu, huku wa pili amepewa laki mbili na wa tatu laki tatu.

 Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wanyange walioshiriki shindano la Redd's Miss Geita 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jukwaani.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoani Geita, Vicky Kamata (kulia) akitoa nasaha zake kwa washindi na warembo wote walioshiriki shindano hilo.
 Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto, Godson Mkama, Hadija na Papaa wa Disire wakiwajibika.
 Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akiwa na Mbunge Vicky Kamata.
Mwandaaji wa Miss Geita, Lady Rose akiongea machache

MREMBO ALICE ISACK NDIYE REDD'S MISS DAR CITY CENTER 2013


Mshindi wa Redd's Dar City Center 2013, Alice Isack akipozi kwa picha mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam

 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam
 Warembo waliofanikiwa kuingia katika hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
 Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (kulia) akiwauliza maswali warembo walioingia 5 bora.
 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam. Mkoni ni moja ya zawadi zao.
 Redd's Miss Tanzania 2012 pamoja na Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu wakifuatilia shindano hilo. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Ramesh Patel.
 Mwigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu (katikati) akifuatilia shindano hilo
 Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro akifuatilia kwa umakini shindano la Redd's Miss Dar City Centre jijini Dar Es Salaam jana usiku.

 Burudani kali ilitolewa jukwaani
Wadau wa sanaa ya urembo wakifuatilia shindano hilo.

Thursday, May 23, 2013

REDDS MISS KURASINI 2013 YAIVA

Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakimsikiliza Mkufunzi wao Kudra Lupatu wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakifanya mazoezi ya kucheza wimbo wa show ya ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi wake Hashim Lundenga jana pia ilitembelea kambi ya Redd's Miss Kurasini 2013 na kuzungmza nayo. Pichani ni Warembo hao wakimsikiliza Hashim Lundenga na ujumbe wake.

Tuesday, May 21, 2013

REDD'S MISS TANGA KUJULIKANA JUNI 22 MWAKA HUU






































SHINDANO la mkutafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu "Redd's Miss Tanga 2013" litafanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Mkoani humo.

Akizungumza na gazeti hili jana Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula, alisema kuwa warembo tayari wameanza mazoezi yakatofanyika kwenye Ukumbi wa Lavida uliopo jijini Tanga.

Kigundula alisema shindano hilo litaanza saa 2, usiku, ikiwa ni pamoja na kuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa moja ya bendi maarufu hapa nchini pamoja na wasanii wanaotamba katika muziki wa kizazi kipya.

Alisema maandalizi ya shindano hilo yanaendelea vizuri jumla ya warembo 14 watashindania taji hilo.

Kigundula alisema kuwa mpaka juzi warembo 10 wamejitokeza na kuanza mazoezi yanayosimamiwa na  Miss Tanga 2012 Teresia Kimolo na Mwanaid Omar.

Warembo hao ni Hawa Ramadhan (18),Hazina Mbaga (19)Like Abdulraman (19), Jack Emannuel (18),Waida Mmbwambo(20), Tatu Hussein(19), Mwanahamis Mashaka(20), Neema Abdallah (18), Winfrida Gutram (21)Lulu Mbonea (19) na Aisha Rashid (21).

"Kila kitu kinaendelea vizuri, ikiwa na warembo kuendelea kujiandikisha kushiriki shindano la mwaka huu, ambalo nina hakika litakuwa la aina yake"alisema Kigundula

Alisema kwamba shindano la mwaka huu litaandika historia mpya ya urembo mkoani humo kwa kuwa Kampuni DATK imejipanga, hivyo mashabiki wa mashindano ya urembo wa jijini hapo kwa ujumla wakae mkao wa kupata raha.

Redd's Miss Tanga 2013 imedhaminiwa na Redd's Original,CXC Africa, Executive Solutions,Busta General Supply, Mkwabi enterprises,Lusindic Investment LTD, Lavida Pub, Jambo Leo,Staa Spoti,Five Brothers,Cloud's Media Group,Michuzi Media Group na Blogs za Bongostaz.com, Saluti5, Kajuna, JaneJohn, na Father Kidevu Blog.

Monday, May 20, 2013

REDD'S MISS KIGAMBONI 2013 NI JUNI 7 MWAKA HUU

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni.

Monday, May 13, 2013

DIVA NA MWANAMITINDO KENYA WAMGOMBEA PREZOO

Huddah Monroe

Hakuna siri tena kuwa mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva na mfalme wa bling bling Rapcellency Prezzo ni wapenzi na wote wameconfirm. Lakini hata hivyo Diva amejikuta akipata upinzani mzito kutoka kwa model na msichana maarufu nchini Kenya Huddah Monroe ambaye kulikuwepo tetesi kuwa yeye na Prezzo waliwahi kuwa wapenzi.
Huddah amemshambulia Diva kuwa anajisifia mno kwenye Twitter kuhusu uhusiano wake na Prezzo. Pia anasema Diva ana sura mbaya.
“But she is still dreaming ,plus she is so ugly.”
“Theres a gal here she can’t stop sayin the way a nigga is her man,she is even waiting for a ring,im on the floor,” ametweet Huddah.
“She says it was love at first sight,but all a nigga wanted was to bust his nut.”
Huddah pia amemdiss Diva na wasichana wengine walio upande wake kuwa wanatweet Kiswahili kwakuwa Kiingereza ni kigumu.

“These bitches tweeting in swahili coz english is so hard.”
“Sio vita,i just found ur obsession so funny,u even broke u up with ur boyfriend,tumecheka tukaketi chini,” ameongeza Huddah.
“Hahaha! She is like i should respect her @Divamimi ,too shady to call herself a diva.”
“Sit ur ass down bitch i just laughed at ur tweet,nw u makin it a big deal.”
Hata hivyo Diva hakukaa kimya, hivi ndivyo alivyojibu.
#TeamPrezzo #Rapcellency#ThePresident. Am 100% Protecting his Territory , ukno how we do it Son. In Jay’z voice #1love
Next time finish what u started my Angel, am from Tanzania, I can handle a woman like u, learn to respect those u don’t know.
That woman crazy , she just started attacking me then »» Ex girlfriend, I dig her, ouch
Mwenzangu wee lol, she needs to move on, this will never take her nowhere.
LOL, too Early for her , let her kip on venting , not gon deal wit her ever again, some girls man.
Baada ya vita kuwa nzito, Diva ameomba msaada kwa followers wake wamfunze adabu Huddah kwa kile Diva anachosema amewatukana watanzania.
“Pliz handle this woman from kenya that been so busy attacking me. Attacking my country as well, mfunzeni #Leggo.”
Diva.
Huddah amejibu: LMFAO! U are now askin Tanzanians to abuse me? U actually called Tanzaninan men dirty na hata shame huna.
Hizi ni tweets za Diva zilizofuata akidhihirisha anavyompenda Prezzo na kwamba hamtaki tena Huddah.
I love Prezzo and Simuachi Ng’oo , so she better deal with dat. She needs to leave me alone now. Its LOVE!. #bowdown#UheardTheDiva.
A little bit advice for her , you can’t fight love, Esp. love at first Sight. That’s Powerful. I lov Kenya#My2ndhome. So done.
Then you go and tell her to move on. Coz Prezzo don’t want her anymore. That is so easy!
Unaionaje vita ya wasichana hawa wawili amnbayo bado inaendelea kwenye Twitter? Kitu kimoja kikubwa wanachofanana wasichana hawa ni kuwa wote ni maarufu sana kwenye Twitter na wako controversial.

MTOTO WA MIAKA MINNE ACHOMWA MOTO SEHEMU ZA SIRI KISA UJI

ELIZABETH Bureko (26), mkazi wa Kata ya Nyamatare, Manispaa ya Musoma, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Musoma, kwa tuhuma za kumchoma na moto sehemu za siri mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane. Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Baraka Maganga, ilidaiwa na Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Sajini Stephano Mgaya, kuwa mwanamke huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Aprili 24 mwaka huu, saa 3 asubuhi.
Kwa mujibu wa mwendesha mashitaka huyo, mshitakiwa alikiuka kifungu cha sheria namba 169 cha mwenendo wa makosa ya jinai kama sheria hiyo ilivyofanyiwa marekebisho na kuwa namba 16, mwaka 2002.
Alidai kwamba, mshitakiwa huyo alimchoma katika sehemu zake za siri na mdomoni baada ya kumtuhumu mtoto huyo wa wifi yake, kwamba alikuwa akinywa uji wa mtoto aliyekuwa akimnywesha. Mshitakiwa alikana shitaka na kurudishwa mahabusu hadi Mei 25 mwaka huu, kesi yake itakapotajwa tena.

WAREMBO 11 WALIOFANYA MAPENZI NA MBWA HAWA HAPA


Sakata  la  warembo  11  wa Mombasa  kunaswa  wakiiigiza  video ya ngono  na MBWA  limechukua  sura  mpya  baada  ya  taarifa  kuvuja  kwamba  yule  mzungu (Christopher Clement) waliyekuwa  naye  ni  mfanyakazi  wa  shirika  la umoja  wa mataifa ( United Nations Development Programme -UNDP)

Madai  hayo  yamekuja  baada  ya  kunaswa  kwa  gari  mojawapo  la  mzungu  huyo  lenye  namba  za  usajili  40UN221K  ambazo  ni  za  UNDP....

Na  haya  ndo  majina  11  ya  watuhumiwa  wa  kashfa  hiyo  chafu.....
  1. Christopher Clement Weisssenrieder, 
  2. Janet Akoth Omollo, 
  3. Mercy Waithera Karanja, 
  4. Mary Nyambura Kimani, 
  5. Magdaline Wairimu Chege, 
  6. Celestine Nekesa Sitati 
  7. Dorcus Melishah Indakwa
  8. Lydia Nyaboke Momanyi, 
  9. Philidelia Mawia Solomon, 
  10. Anne Wanjiku Gichuki 
  11. Celilia Nzambi Katuku.

KUMEKUCHA MISS LINDI 2013



Shindano la kumsaka Malkia wa Mkoa wa Lindi ‘Miss Lindi 2013’ linataraji kufanyia Mei 31 mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Lindi Beach Resort (Oceanic Hotel).
Akizungumza na Father Kidevu Blog mjini Lindi, Mwandaaji wa Shindano hilo, Shaha Ramadhani kupitia kampuni ya Alliance Entertainment amesema warembo 12 wataingia Kambini Hotelini hapo chini ya Mkufunzi Zainab Mselem ambaye alikuwa Miss Pwani 2010.
Maandalizi yote ya shindano hilo yanaendelea vyema na Milango io wazi kwa Wadhamini kujitokeza.
Maandalizi yote ya shindano hilo yanaendelea vyema na Milango io wazi kwa Wadhamini kujitokeza. 
Irine Veda (pichani juu) ndiye anashikilia taji hilo baada ya kulitwaa mwaka 2012. 

NEY NA DIAMOND KUWASHA MOTO DAR LIVE

WASANII wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul  'Diamond Platinam' na Ney  wa mitego wanatarajia kupanda jukwaa moja kumtafuta nani mkali katika uzinduzi wa video ya Muziki gani itakayozinduliwa Mei 18 mwaka huu katika ukumbi wa Dar LIVE mbagala, Dar ers Salaam.

Uzinduzi wa Video hiyo ambao umeandaliwa na Kampuni ya Yuneda Entertainment inayohusika na masuala ya burudani itawapambanisha wasanii hao ambao kutatafutwa nani mkali kati ya muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva ambapo nyimbo hiyo ya muziki gani inamahadhi ya kubishana kati ya miziki hiyo.

Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati wa kutambulisha uzinduzi huo, Mratibu wa onesho hilo Kahabi Mwendesha alisema uzinduzi huo utasindikizwa na wasanii wa Hip Hop na Bongo Fleva na kuwataka mashabiki wa fike kwa wingi ili kushuhudia wababe hao.

"Onesho hili litakuwa ni la kumtafuta nani mkali kati ya muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva ambapo kupitia uzinduzi wa video hii utadhihirisha nani mkali kati ya muziki wa bongo fleva na hip hop,"alisema Mwendesha.

Alisema mara baada ya video hiyo kuzinduliwa Mei 18 Dar LIVE uzinduzi huo utahahamia katika mikoa ya Morogoro, Dodoma, Mwanza, na baadaye Arusha na kuwataka mashabiki wa mikoa hiyo kukaa tayari kwa ajili ya burudani hiyo.

Alisema viingilio katika onesho hilo vitakuwa ni sh. 10,000 huku akisisitiza ulinzi kuimarishwa ambapo pia alisema kwa mashabiki wa burudani ambao hawatakuwa na viingilio kwa ajili ya mechi ya Simba na Yanga wafike katika ukumbi huo kwa kuwa mechi ya watani hao wa jadi itaoneshwa LIVE kupitia televisheni kubwa zilizipo ukumbini hap
o.

RAPPER JAY-Z KUTUA DAR TENA MWAKA HUU

 
Tanzania ni miongoni mwa nchi tano za bara la Africa zilizochaguliwa na rapper Sean Carter aka Jay-Z kwaajili ya kutumbuiza kama sehemu ya ziara yake ya wiki saba ya dunia.

Ziara hiyo ni kwaajili ya kutangaza uelewa kuhusu tatizo la maji duniani. Inatarajiwa kuanza September 9 nchini Poland na kuzunguka mabara ya Ulaya, Africa, Asia na kumalizia Australia.

Barani Africa ataanza na show jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee October 4 kisha Accra, Ghana, Lagos, Nigeria, Luanda, Angola, Cape Town, Durban, na Johannesburg, Afrika Kusini.

Sunday, May 12, 2013

REDD'S MISS IFM 2013 YAIVA

Warembo wa Redd’s Miss IFM wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Victoria Kimaro katikati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaa juu ya maandalizi ya shindano la Redd's Miss IFM 2013.
Mratibu wa Redd’s Miss IFM, Daniel Sarungi katika akizungumza na waandishi wa Habari jijini dar es salaam juu ya shindano la Redd's IFM linalotarajiwa kufanyika May 25,2013, kulia ni meneja wa Kinywaji cha Redd's Victoria Kimaro.

Friday, May 10, 2013

UGONJWA ULIMTULIZA MADAM RITA ASIONEKANE

http://2.bp.blogspot.com/-VxF8Xm3DRRQ/T_C2cslKR3I/AAAAAAAAHwk/FC7De_50yk8/s1600/IMG_9924.JPGBaada ya kua kimya kwa muda mrefu, hatimaye Madam Rita Paulsen amefunguka sababu ya ukimya huo wa mda mrefu. Katika page yake ya facebook amefunguka na kusema kua kisa cha ukimya wake wa mda mrefu ni kutokana na kusumbuliwa ma maradhi ambayo hajayaweka wazi. Lakini katika picha hiyo ameonekana akiwa na magongo ya kumsaidia kutembea.

Madam Rita katika page yake ameandika haya

''Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.

Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.

MAZITO KUHUSU SALAMA JABIR NA KUPIGWA LITA HAYA HAPA

Katika  pitapita   zangu nimefanikiwa  kumnasa  live  Salama Jabir  akinyonyana  ndimi  bila  chenga  na  mwenzake...!!
Nashindwa  kuthibitisha  huyo  wa  pili  ni  nani  na  ni  jinsia  gani....nikimwangalia  haraka  haraka  naona  kama  ni  mwanaume  na  namfananisha  na  mdogo  wake    Wema   Sepetu  aitwaye  Bill Sepetu.....
Nikijaribu  kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni  mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha   na  sidiria  za  akina  dada....!!
Yaani  nimeumiza  macho  mpaka  yanauma...Nashindwa  kuyaamini  macho  yangu  kuhusu  Salama Jabir. Sikutegemea..!!
kwa hisani ya bONGO FLavA liNK BLOG