Chanzo cha habari kinasema kuwa sababu kuu ya kuhamisha tarehe husika ya shindano toka tarehe 20 julai mpaka iddi pili mwezi wa nane ni kuondoa taswira tofauti ambapo baadhi ya washiriki na wanakamati kuwa waumini wa dini ya kiislamu hivyo kamati ikaona vyema kupeleka mbele shindano hilo ambapo limekua gumzo jijini Dar es salaam.
Taarifa kamili kuhusu tarehe shindano hilo itatangazwa rasmi kupitia vyombo vya habari hivi punde,tunaomba radhi kwa usumbufu ila tumefanya hivyo kueshimu taratibu za kidini hususani kipindi hiki cha mwezi mtuku wa ramadhani.
Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Tuesday, July 17, 2012
MISS UTALII KINONDONI YASOGEZWA MBELE KUPISHA MWEZI MTUKUFU
IRENE BWIRE AWA MISS UTALII KAGERA 2012
Miss
Utalii Kagera 2012 Miss Irene Bwire (katikati) na mshindi wa pili Miss
Jania Abdul (kushoto) na Miss Mayor Kashumba mshindi wa tatu (kulia)
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Mama Pangani akifungua Onyesho hili rasmi
Mrembo Irene bwire ameibuka mshindi wa Taji la Miss Utalii Kagera 2012, katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Linas Club mjini Bukoba mkoani Kagera siku ya jumamosi tarehe 14-7-2012.
Irene alitwaa taji hilo kwa kuwashinda warembo wengine 14, katika shindano ambalo mkuu wa Wilaya ya Bukoba mama Pangani alikuwa mgeni rasmi. Mrembo Jania Abdul alikuwa mshindi wa pili na Mayor Kashumba alikuwa mshindi wa tatu, hivyo wote pamoja na mshindi wa nne,watano na mshindi wa taji la Miss Utalii Vipaji watawakilisha mkoa wa kagera katika fainali za Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya Magharibi,zitakazofanyika mkoani Mara, mwezi Oktoba 2012.
Katika
shindano hilo ambalo lilisindikizwa na burudani za muziki wa asili na
wa kizazi kipya wakiwemo bendi ya Diamond Sound, msanii BK Sunday na
makundi ya ngoma za asili za mkoa wa kagera,shindano hilo
liliandaliwa na Dinner Fashion,huku Miss Utalii Kilimanjaro 2012 Evamary Gamba akiwa ni mwalimu wa warembo.
Mgeni
rasmi aliwapongeza waandaaji kwa kufanikiwa kuandaa shindano hilo
ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa ni kichocheo cha kutangaza utalii na
utamaduni wa mkoa wa kagera.
Aidha
alisema
kuwa serikali na mkoa wa Kagera wanathanini sana mchango wa shindano
hilo katika kuhamasisha na kutangaza utalii na utamaduni wa Tanzania pia
mianya ya uwekezaji, na kuwataka wadau mbalimbali
kuliunga mkono kwa kudhamini shindano hilo kla linapofanyika
Wednesday, July 11, 2012
Monday, July 9, 2012
MISS REDD'S KAGERA 2012 APATIKANA NI BABY LOVE KALALA
Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 2011 limemalizika na Miss Baby Love Kalaa(katikati)kuibuka mshindi
Mshindi wa pili katika shindano hili ni Miss Juliana Robinson wa mwili waliosimama.
Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji na kumvisha mshindi wa mwaka huu.
Mshindi wa pili katika shindano hili ni Miss Juliana Robinson wa mwili waliosimama.
Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji na kumvisha mshindi wa mwaka huu.
Sunday, July 8, 2012
MISS UTALII KINONDONI 2012 YAZINDULIWA RASMI
Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni Bw. M ethuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tAREHE 20 JULAI jijini Dar.
Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .
Washiriki wa shindando hilo.
Meneja wa Hotel ya Travetine Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.
Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .
Washiriki wa shindando hilo.
WEMA ,WOLPER WAMETOKA SURUHU
| Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao |
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana blogspot.com
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na
Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo
Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa
Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
Thursday, July 5, 2012
MISSS UTALII KAGERA 2012 WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA NA MELI YA MV.VICTORIA

Warembo
wakiingia melini.

Meneja
wa Kampuni ya Kiroyera Tours akitoa maelezo kwa Warembo hawa


baadhi
ya warembo katika pozy.

Muandaaji
wa Onyesho hili Bi Dinna akimshkuru AFISA wa Bandari ndg Msese.

Afisa
wa Bandari Mdau Ajuaye Kheri Msese akiwapa somo walimbwende katika kuwapa uelewa
zaidi wa mambo mbalimbali.

Warembo
wakiwa wamependeza
Wednesday, July 4, 2012
BAUCHA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO.
Pichani ni Producer Baucha.
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
"Mambo vipi?......Nimefiwa na Baba mzazi leo usiku Julai 4 2012,najua wewe ni mtu muhimu kukutaarifu, Kwanza nasubiri kuelekea Zanzibar kwa mazishi.....Baucha
Kwa
mujibu wa SMS yake aliyonitumia saa 9:30 usiku Ally Baucha ambaye ni
mmiliki na producer wa studio za kurekodia muziki maarufu kwa jina la
BAUCHA RECORDS na mara baada ya taarifa hizi nilifanikiwa kuzungumza
naye pia usiku huu huu.
Tuzidi kumwombea kwa Mola amtie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Tuesday, July 3, 2012
KUELEKEA REDDS MISS HIGHER LERNING HAWA NDIO WAREMBO
| Washiriki wa Shindano hilo wakiwa mazoezini walikojichimbia huko Kunduchi jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuelekea mjengoni Dodoma leo asubuhi. |
| Mashindano hayo yanatarajiwa kuwa na mvuto zaidi kutokana na washiriki wake wote kuwa ni wa vyuo vikuu hivyo wanatarajiwa kuweza kufanya mambo makubwa kutokana na uelewa wao. |
MISS SHINYANGA 2012 YAPAMBA MOTO
Warembo wa Miss Shinyanga 2012 itakayorindima wilayani Kahama jumamosi hii ya tarehe 7/07/2013 uwanja wa Taifa Kahama.
Warembo hawa watahusika vilivyo kwa skilz zao, maandari ya eneo
husika kupambwa na taa maalum, stage la uhakika na sound ya mtikisiko
kurindima katika kusapoti burudani na yatakayojiri siku hiyo.
Warembo katika pozi style.com
Coca cola ni moja kati ya wadhamini wakuu wa shughuli nzima.
Waremmbo na kinywaji chao katika pozi
Kutokana na maandalizi yaliyofanywa mpaka sasa na msisimko
unaotajwa kinyang'anyiro hiki kinatajwa kuwavuta mashabiki toka sehemu
mbalimbali nchini wengi wakitaka kushuhudia live bila chenga mpango
mzima utakavyokuwa.
Baadhi ya warembo wa kinyang'anyiro cha miss Shinyanga 2012 wakikulingishia tabasamu zao.
Subscribe to:
Posts (Atom)






