Nahilo ndo kundi la maaskiri wenye silaa walio kuja kuwatawanya waandamanaji wa chama cha Chadema wasio kuwa hata nasilaa..
Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi..
Nahapo sasa ndipo vurugu za kuwatawatawanya waandamaji hao wa Chadema kwa kutumia silaa..
NAOMBA SASA NIONYESHE PICHA ZA MWILI WA DAUDI MWANGOSI KABLA NA BAADA YA UMAUTI.Nahuo na nwili wa Ndugu yetu Daudi baada ya askari kuusambaratisha
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu..
No comments:
Post a Comment