Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 13, 2012

MISS KINONDONI VIPAJI 2012 HII HAPA

 Mrembo Brigitter Alfred   alionyesha umahili wake katika nyimbo za kihindi.
  Mrembo Irene akionyesha mbwembwe zake  katika kucheza.
  Mrembo Nahma Saidi.
  Mrembo Ester Musa alionyesha kipaji cha kuimba.
   Mrembo akionyesha umahili wa kukata mauno. 
 Mrembo Kudra Lupati katika pozi mara baada ya kumaliza kutambulisha vazi alilobuni mwenyewe.
 Mrembo akionyesha kipaji cha kuchora mlima Kilimanjaro.
 warembo walioshinda Kinyang'anyiro cha Miss Kinondoni Talent kutoka kulia ni Judith Sangu, Brigitter Alfred na Diana Hussein.
Warembo wakiserebuka mara baada ya mchakato wa kusaka vipaji kuhitimishwa.
 ...  Hapa warembo wakijiachia kwa mwendo wa kwaito  baada ya kazi furaha..   

No comments: