
Blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji ameamplfy kwamba staa wa muziki 2Face Idibia anatarajia kufunga ndoa ya kimila ijumaa hii tarehe 8 March 2013 na party nyingine ya harusi itafanyika Dubai, kwa sasa chukua time yako kupitisha macho kwenye pichaz za pre-wedding.
No comments:
Post a Comment