Sunday Mangu ‘Linex’ akiwa na mchumba wake Suvi Rikka.
SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Sunday Mangu ‘Linex’ kumvisha pete
ya uchumba demu wake mtasha, Suvi Rikka, mama wa staa huyo, Imelda
Barnabas ameibuka na kumchana mwanaye kuwa haitambui pete wala mchumba
huyo kwa kuwa kitendo hicho hakina baraka zake wala za familia.
Linex alipoulizwa juu ya sakata hilo, alifunguka:
“Yah! Bi mkubwa amenijia juu ile mbaya, ila najitahidi kumuomba msamaha, hope atanielewa.”
“Yah! Bi mkubwa amenijia juu ile mbaya, ila najitahidi kumuomba msamaha, hope atanielewa.”
No comments:
Post a Comment