Haya
hatimaye leo tumemaliza ule ubishi wa watu waliokuwa wanabishana
kuhusiana na swala zima la wema sepetu kumsindikiza diamond the platnumz
kwenye tuzo za BET awards 2014 ,i hope mmeiona hiyo screen snap ambayo tumeichkua leo kupitia account ya instagram ya staa wema sepetu, akifunguka ya kuwa atamsindikiza diamond the platnumz kwenye awards hiyo, oo God mh eti itakuaje? Kwenye red carpet huku beyonce na jay z, na huku diamond the platnumz na wema sepetu haya kantangaze..
No comments:
Post a Comment