Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, July 24, 2015

DIAMOND PLATNUMZ NA MASANJA MKANDAMIZAJI WAWASILI MOSHI KWA AJILI YA KUSHUSHA BURUDANI MISS KLIMANJARO AMBASSODOR 2015

 Mwanamuziki Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International Airport (KIA).Shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 linafanyika usiku wa leo katika viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa mbili usiku likiambatana na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo wasanii mbalimbali watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya Uchekeshaji kutoka kwa Masanja Mkandamizaji. 

No comments: