Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, August 3, 2015

YOLANDA SHAYO NDIYE MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015

 Yolanda Shayo ndiye mshindi wa shindano la kumsaka balozi wa Mkoa wa kilimanjaro 2015, Yolanda alifankikwa kuwabwaga washiriki wenzake na kutoka kidedea katika shindano hilo kwa kuibuka na taji la kuwakilisha mkoa huo(Miss Kilimanjaro Ambassador 2015).
Shindano hili ambalo lilifanyika mwishoni mwa mwezi wa saba likikutanisha wanyange mbalimbali kwa adhima ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wasichana warembo,shindano hili ambalo lilidhaminiwa na cocacola,vodacom na castle light na kupambwa na msanii Diamond platnumz.
Nafasi ya pili ilienda kwa Doreen Cosmas(namba1 kiunoni) na nafasi ya tatu ilienda kwa mrembo Winny Usiri(mwenye gauni jekundu)

No comments: