Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, August 27, 2010

BREAKING NEWS !!

               Prisca mkonyi mkonyi akichati na wadau
                   Helo divaz am jokate mongelo...i like uniqueentertz blog 
                       Tentemente...!! The gret na TK

                                           
                                     

WASHIRIKI MISS TANZANIA WATEMBELEA VODACOM A-TOWN

Mkurugenzi wa Vodacom wa Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando (wapili kulia) na Mtaalam wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) pamoja na warembo wa Vodacom Miss tanzania 2010 wakiangalia namna teknolojia ya mawasiliano kwa kutumia Video inavyofanya kazi wakati warembo hao walipotembelea ofisi za Vodacom kada ya Kaskazini mjini Arusha leo.
Mkurugenzi wa Vodacom wa Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akifafanua jambo kwa warembo wa Vodacom Miss tanzania 2010 juu ya huduma ya mawasiliano kwa kutumia Video inavyofanya kazi wakati warembo hao walipotembelea ofisi za Vodacom Kada ya Kaskazini mjini Arusha leo.
Vodacom Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akimkabidhi msaada wa vyakula na fedha Katibu Mkuu wa Kituo cha watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi cha Tumaini Kilichopo Arusha, Richard Laizer ikiwa ni maadhimisho yake ya siku ya kuzaliwa aliyofanyika jana. Kwaniaba ya watoto wanaosoma katika kituo hicho ni mtoto Sweetmercy Emmanuel aliyepokea kwaniaba 

MREMBO WA TANZANIA AGOMA KUVUA NGUO
Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe World 2010 yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani, Hellen Dausen amejikuta akishuhudia washiriki wenzake wakivua nguo na kubaki na nguo ya ndani pekee, Ijumaa lina kitu kamili.

Tukio hilo lilichukua nafasi nchini humo mwanzoni mwa wiki hii ambapo mwanadada huyo alikuwa miongoni mwa warembo walionesha msimamo na kulikataa zoezi hilo la kupozi mbele ya kamera ya mpigapicha maarufu, Fadil Berisha wakiwa na bikini.

Katika tukio hilo warembo hao wapatao 82 kutoka nchi mbalimbali walipanda jukwaani kugombania kuvaa viatu vya Stefania Fernandez, raia wa Venezuela ambaye ndiye Miss Universe World 2009.

Awali, walimbwende hao walitakiwa kushiriki katika zoezi la upigaji picha za mapozi na vichupi huku sehemu za juu wakiwa wamepakwa rangi mbalimbali kwa ustadi mkubwa.

Hata hivyo, zoezi hilo lilionekana kuwagawa washiriki hao kwani wapo waliokubali na wengine kukataa akiwemo Hellen, kwa maelezo kwamba tamaduni zao haziwaruhusu.

Aidha, baada ya mashindano hayo kumalizika na Jimena Mavarrete kutoka Mexico kuibuka kidedea, wadau mbalimbali walijitokeza na kuyaponda wakieleza kwamba, yamekwenda kinyume na ilivyotakiwa.

Wadau hao walisema, wakati mashindano hayo yanaanza mwaka 1952 yalikuwa na lengo la kukuza uelewa, uhuru, heshima na nguvu kwa mwanamke lakini kadiri siku zinavyosogea, dhamira yake inapotea.

Mfanyakazi wa zamani wa Taasisi ya Miss Universe World, Angie Meyer alisema kuwa, shindano la mwaka huu limechukua jukumu la jarida la Playboy la Marekani ambalo huchapisha picha za wanawake wakiwa watupu.

“Limekwenda nje ya mstari kwani halina tena lengo la kupima uelewa na washiriki na urembo wao bali limeingia katika kuanika maumbile nyeti ya wasichana. Limekuwa ni kama Jarida la Playboy na pia limewagawa washiriki kwani wapo
waliokubali na waliokataa kukaa uchi mbele ya kamera,” alisema Angie.

Hellen Dausen.
Hata hivyo, Shirika la Trump ambalo ndiyo wamiliki wa shindano hilo, walijitetea kwa kusema kuwa, picha hizo hazikuwa na dhamira mbaya kwani lengo lilikuwa ni kuuonesha ulimwengu urembo wa kisanii walionao washiriki hao kutoka nchini 82 duniani.

Akiongea na gazeti ‘high class’, Ijumaa, juzi, msemaji wa Kampuni ya Compus Communication ambao ndiyo waandaaji wa Miss Universe Tanzania, Mwanakombo Salim alisema kuwa, ni kweli kulikuwa na zoezi hilo lakini liliwahusisha wazungu ambao wengi wao siyo kitu cha ajabu kupiga picha za aina hiyo.

“Hellen anarejea wiki ijayo na ni kweli kulikuwa na zoezi hilo ila ni kwa aliyekuwa akitaka, wengi waliokubali ni wazungu kwani hakikuwa kitu cha ajabu kwao lakini kwa waafrika akiwemo Hellen haikuwa rahisi kufanya hivyo,” alisema Mwanakombo.


Hata hivyo, Ijumaa linampongeza Hellen kwa hatua aliyofikia na kwa msimamo aliounesha wa kutotaka kwenda kinyume na utam

          By global publishers 


WABUNIFU WAPEWA MAFUNZO NAMNA YA KUMUDU SOKO LA TANZANIA
                                       mustafah hassanali
Swahili Fashion Week kwa kushirikiana na Tanzania Cotton Board (TCB) na Textile Sector Development Unit (TSDU) kwa pamoja wameandaa mafunzo kwa wabunifu wa Tanzania yenye lengo la kuboresha taaluma ya ubunifu hapa nchini.


“Tunaamini kwamba baada ya mafunzo haya, wabunifu wa watanzania wataweza kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu ambazo zitaweza kuuzwa sehemu yoyote. Pia kupitia mafunzo haya tunaamini kwamba wabunifu watapata habari muhimu zitakazowawezesha kuchangia moja kwa moja ukuaji wa sekta ya ubunifu Tanzania”. Alisema Mustafa Hassanali muaandaji wa Swahili Fashion Week.

Mafunzo hayo yataendeshwa na Claire Hamer-Stubbs ambae anatoka katika kampuni ya Ei8ht (www.ei8ht.org), kundi ambalo limekuwa likifanya kazi zake nchini Uingereza.
Warsha hiyo itafanyika katika Hotel ya New Africa kwa muda wa siku nne kuanzia Ijumaa ya tarehe 27 mpaka Jumatau tarehe 30 mwezi huu na kuwahusisha wabunifu 12 wa mavazi hapa nchini.

“TSDU kwa sasa tumeshirikiana na Swahili Fashion Week katika programu ya kuwasaidia wabunifu wa Tanzania kwa kutoa mafunzo ya awali , TSDU inaamini kwamba kwa kutoa fursa ya mafunzo kwa wabunifu ambayo yatawawezesha kutambua mpangilio mzima wa kufanya kazi zao.

Tunaamini kwamba kupitia semina hii wabunifu watajipatia uelewa mpana wa kufanya kazi na wanunuzi wa rejareja kutoka Uingereza ambao huenda wakavutiwa na bidhaa zinazozalishwa na wabunifu wa Tanzania. Alieleza Mark Bennet, mtaalamu kutoka viwanda vinavyotengeneza nguo vya hapa Tanzani.

Miongoni mwa maeneo yatakayofundishwa katika warsha hii ni pamoja na:

· Biashara na ubunifu, ambapo zaidi itagusia kufafanua ubunifu, mifano mbalimbali, gharama za uzalishaji.
· Masuala ya uzalishaji kwa ujumla, ambapo zaidi wataangalia vipengele vinavyohusu fedha, ufundi, ubora wa bidhaa na jinsi ya kufanya kazi na viwanda vingine vya uzalishaji.
· Ufundi katika ubunifu kwa mfano katika ufungaji, uwekaji wa lebo, maadili ya uzalishaji sambamba na mazingira ya kazi kwa ujimla.
· Watapata pia fursa ya kukutana na wanunuzi kutoka Uingeraza, na kujua ni bidhaa gani zinazohitajika Uingereza, pamoja na kuangalia changamoto mbalimbali na jinsi ya kufikia matarajio.
“Wabunifu wa Tanzania waitumie nafasi hii ipasavyo katika kujipatia mbinu tofauti za kutengeneza bidhaa zao, pamoja na kujipatia mbinu mpya za masoko kwa bidhaa wanazozalisha. Nafasi hii haitoi fursa kwa mtu mmoja mmoja bali kwa sekta nzima ya ubunifu hapa nchini.” Alimazia Mustafa Hassanali.
WAREMBO  WA  MISS TANZANIA WATEMBELEA SHULE MANYARA,
*watembelea wilayani monduli pia
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa wameshikilia vyandarua kabla ya kugawa vyandarua kwa baadhi ya wakazi wa mto wa Mbu mkoani Manyara jana. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutuio vya Utalii na kuhamasisha Utalii wa ndani ya nchini.
Mshiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,Geneviver Emmanuel akigawa chandarua kwa mmoja wa wakazi wa Mto wa Mbu Mkoani Manyara jana katika utekelezaji wa Kapeni ya malaria. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutuio vya Utalii na kuhamasisha Utalii wa NMdani Nchini.
Paulina Lowasa dada wa Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowasa, akiwapa mkono wa kuwatakia heri Warembo wa Vodacom Miss Tanzania alipokutana nao Wilayani Monduli mkoni Arusha jana na kuwapa zawadi ya vikoi vya kimaasai warembo wote 30. Warembo hao wanatembelea Kanda ya Kaskazini kuangalia vivutio vya Utalii nchini.
Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Maasai iliyopo Monduli Mkoani Arusha wakati wa rembo hao walipotembelea shule hiyo jana wakiwa katika ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Wanyange wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa UWT Wilayani Monduli pamoja na Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania baada ya akina mama hao kuwapa zawadi ya vikoi vya kimasai na kuwatakia kila la heri katika mashindano hayo yatakayo fikia Kilele Septemba 11 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
 
 
     MAMISS WA SIKU HIZI KWA MIWANI..!!
                                                                           

                                            
  Baadhi ya washiriki wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa na miwani kitu ambacho kimekua kivutio kikubwa kwa mamiss,kiukweli zinawapendeza na kuwaongezea nakshi  mida frlani hivi....
                                                     
                                                                           

TIGER WOODS NA MKEWE WATALIKIANA.

BINGWA WA MCHEZO WA GOLF DUNIANI TIGER WOODS AMETALIKIANA NA MKEWE ELIN NORDEGREN. HIZI NI HABARI KUTOKA MTANDAO WA MCHEZAJI GOLF NAMBA MOJA DUNIANI.

KWA PAMOJA WALISEMA "Tunasikitika kuwa ndoa yetu imefikia tamati na tunatakiana kila la heri katika mustakabala wetu," WAWILI HAO WALISEMA.


HATA HIVYO WAWILI HAO WAMESEMA WATASAIDIANA MAJUKUMU YA KULEA WATOTO WAO WAWILI. SUALA LA KUGAWANA PESA HALIJAWEKWA WAZI LAKINI TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA MAREKANI ZINASEMA KUWA BI.NORDEGREN HUENDA AKAONDOKA NA KITITA CHA DOLA MILIONI 100.

                                                 
                                      Bata za jigga na beyonce ni za hal ya juu mmmh..
                                          

ZIARA YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA ZIWA MANYARA
 


Wanyange wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakimsikiliza mmoja wa waongoza watalii katika Hifadhi ya Ziwa Manyara alipokuwa akiwapa maelezo juu ya hifadhi hiyo.
Washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakizungumza na watalii waliokutana nao jana katika hifadhi ya Ziwa Manyara.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakipiga picha ndani ya hifadhi ya Ziwa Manyara wakati warembo hao walipotembelea ziwa hilo ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kuangalia vivutio vya utalii katika mikoa ya Kaskazini.
Walibwende wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakimsikiliza mmoja wa waongoza watalii (hayupo pichani) katika Hifadhi ya Ziwa Manyara alipokuwa akiwapa maelezo juu ya hifadhi hiyo.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na watalii waliotoka Chuo Kikuu cha Calfonia Los Angels Marekani waliotembelea Hifadhi ya TAIFA

ZIARA ya warembo 30 wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 kutembelea vivutio na rasilimali tofauti nchini zilizopo kanda ya kaskazini imeendelea na jana walikuwa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro (NCA) iliyopo mkoani Arusha.



Wakiwa ndani ya hifadhi hiyo licha ya kujionea moja ya maajabu saba ya dunia yaani bonde la Ngorongoro walipata fursa ya kujionea wanyama na baionuwai za aina mbalimbali kama vile Simba,Tembo,chui na ndege wa aina tofauti.



Mbali na hayo walijionea pia maboma ya Maasai ambayo nayo yanatumika kutangaza utamaduni wa kabila la wamaasai ambao na kuwezesha kuingiza serikali fedha nyingi za kigeni kutoka kwa watalii wanaotembelea hifadhi hiyo.



Akizungumzia kuhusiana na aliyojifunza ndani ya Ngorongoro mmoja wa warembo Angelina Ndege kutoka Mkoa wa Lindi kanda ya mashariki alisema amejifunza kwamba kuna hifadhi zingine siyo lazima waishi wanyama pori tu bali hata binadamu nao wanaishi.



“Tangia nizaliwe miaka 19 iliyopita sikuwahi kufikiri kama wanyamapori hawawezi kuishi na binadamu, lakini ndani ya bonde la Ngorongoro nimeshuhudia wanyama wakiishi na binadamu tena bila rabsha yoyote,” alisema Ndege.



Aidha alibainisha kuwa ameweza kujifunza kwamba wanyama huwa hawakai katika hifadhi moja bali huwa wanahama na kwenda sehemu zingine kutafuta malisho kuendana na hali ya hewa.



Kutokana na hilo aliwaomba Watanzania kujenga tabia ya kutembelea hifadhi za taifa zilizopo nchini na kuachana na fikra kwamba wanaopaswa kwenda katika maeneo hayo ya rasilimali za taifa ni watalii kutoka nje tu ili kusaidia kuinua uchumi wa nchi kupitia sekta ya utalii.





Mary Magali ambaye ni mrembo anaewakilisha mkoa wa Iringa aliwashukuru wadhamini wakuu wa mashindano haya ambao ni Vodacom Tanzania kwa kudhamini mashindano haya pamoja na gharama zote za kutembelea hifadhi za taifa kanda ya kaskazini ili kujionea na kujifunza kuhusiana na rasilimali za taifa.



“La muhimu nililojifunza baada ya kutembelea hifadhi za taifa ya Kinapa na Ngorongoro ni kufahamu kuhusiana na Simba wanaopanda miti wanaopatikana ndani ya kreta ikiwemo maji yam to wa mbu na kirurumo kukutana sehemu moja inayotumiwa na viboko kulala na kusambaa ziwani,” alisema Magali.



Naye Mlezi wa warembo hao ambae alikuwa mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2009,Gladys Shao, alisema warembo wote wanaendelea vizuri na maandalizi na hawana matatizo yoyote ya kiafya na kwamba wanafurahia na kujifunza mambo mbalimbali ya utalii wa ndani kwani unaanza na Mtanzania mwenyewe.
                                    
MAMAA ..ELIS..!!

  Elis ni Moja ya wadau wa Urembo wanafuatilia blog hii ya mitindo na urembo kila day

         MSOMI WA CHUO KIKUU ALIYEAMUA KUPELEKA TAJI KWA WASOMI
                                                        Ester  Denis
Moja ya wanyange toka chuo kikuu wanoawania taji la Vodacom miss Tanzaina 2010,wasomi wengi wanasubiri kuona IQ ya hali ya juu kwa warembo wanatoka vyuo vikuu, hasa katika kutoa changamoto kwa jamii na kuonyesha uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi sahihi, si kama mrembo tu bali awe mtu aliekwenda shule pia,tunaitaji warembo wanaoisaidia jamii sio kupata ushindi ufanye starehe tu hapa mjini.
                     
      MRITHI WA ANGELINA LUBALA HUYU HAPA KATIKA REDDS FASHION AMBASSADOR 2010

                      Warembo wnaowania taji la Redds fashion ambassador 2010
                        Warembo wanaoshiriki miss Tanzania 2010
                           Warembo wakisoma vigezo vya kushiriki
          Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Brand meneja wa Redds Kabula wakati anato maelekezo kuhusu kinywaji cha redds na umhimu wa m,rembo kunywa kihywaji cha Redds               
        Joto la kumsaka Myange anayetarajiwa kuvikwa taji la Redds fashion ambassador 2010 linazikupanda kwa washiriki ambapo mbali ya taji hilo mshindi atapata mshahara wa laki 2 na nusu kwa miezi 12 na madili kibao ya Redds ka mwaka mzima.
   Tuzo ya Balozi wa mitindo wa Redds lianza kwa mara ya kwanza 2005 ambapo mshindi wa kwanza wa taji hili alikuwa Natalia Noel Yatera (mshindi wa pili wa Ocean sandals miss Tz 2005),mshindi wa tuzo ya pili alifuatia Jokate Mwrngelo ambaye alikuwa mshindi wa pili wa Vodacom miss Tz 2006.
    Akafuatiwa na Victoria Martin(mshindi wa nne wa Vodacom miss Tz 2007) na mwaka uliofuata alishinda Angel Lubala(mshindi wa pili wa Vodacom miss Tz 2008).
    Swali limebaki kwa mwaka huu nani kati ya hawa atapata taji hili lenye kila namna ya kujivunia kwa mwaka 2010 - 2011..
                                          

                                JIMENA AWA MISS UNIVERSE 2010

From flags to Facebook, 22-year-old Jimena Navarrete has quickly made it clear what she plans to promote as the world's newest Miss Universe — her home country of Mexico.

"I want the whole world to know about my country and my people," the Guadalajara native said after beating 82 competitors for global bragging rights at the pageant in Las Vegas.

"I imagine that they're all going crazy in Mexico right now," she said through an interpreter. "I'm extremely proud and I'm sure they're very proud, too."

She donned a flowing red dress, strutted confidently in a violet bikini, and said onstage that the Internet is indispensable and requires parents to impart family values.

The model-turned pageant queen then posed for pictures with a Mexican flag and Mexico's last Miss Universe as congratulations from her countrymen came pouring in.

"Her triumph is a source of pride and satisfaction for all Mexicans, who see in her the fruits of perseverance," Mexican President Felipe Calderon said in a statement. Immediately after her win, Calderon said on Twitter that her victory would help Mexico's image as a country.

No comments: