Mh Mwandosya anasumbuliwa na kansa ya damu pamoja na pingili katika shingo yake kwa kawaida kupona ni miujiza kwani kansa ya damu ndiyo ilisababisha kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere.
Daktari alimtaka apumzike ili muda wa kuishi uwe mwingi zaidi ndiyo maana akachukua hatua ya kuandika barua ya kujiuzulu ingawa habari za kujiuzulu bado hazijatibitika.
DWIGHT HOWARD AMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULUMchezaji wa kikapu toka Orlando Magic kaika ligi ya NBA-Marekani,Dwight Howard amemtembelea Rais Jakaya Kikwete ikulu ya Dar es Salaam na kuahidi kutoa msaada ili kukuza vipaji vya mchezo wa kikapu nchini Tanzania.
DAVID JAIRO URUDI KAZINI KWA
MBWEMBWE
David Jairo. Barua iliyomponza Jairo
KATIBU Mkuu Kiongozi Bw. Phillemon Luhanjo ameamuru Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David Jairo kurejeamara moja kazini kwa kuwa uchunguzi uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haujamkuta na hatia yoyote.
Bw. Jairo, ambaye alisimamishwa kazi Julai 21, mwaka huu ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa bungeni wakati wa kuwasilisha wa hotuba ya bajeti ya Wizara yake ambapo alidaiwa kuchangisha jumla ya sh. bilioni moja kuwahonga wabunge wapitishe bajeti ya wizara hiyo.
Jamani kama huu ulikuwa ni utamaduni tu wa wizara mbona waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda alikuwa haujui mpaka akasema kama angekuwa na uwezo wa kumfukuza kazi angefanya hivyo mara moja!?.
RIHANNA AKILA BATA KWENYE VIBOTI
Rihanna is on a boat and she's having the time of her life!
RiRi spent the night partying away and even ripped the shirts off of her male waiters as her assistant licked their man chests.
Rihanna started a boats and hoes trend on twitter tweeting, "My assistant @JennnRosales ripping the shirts and skirts off our bartenders! #boatsANDhoes"
VODACM YATOA FURSA KWA WATANZANIA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA VODACM MISS TANZANIA
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Udhamini wa Vodacom ,George Rwehumbiza, alisema ili kupiga kura Watanzania watatakiwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno wenye neno MREMBO ukifuatiwa na namba ya mshiriki 'mfano 40' kwenda 15550 ambapo gharama kwa kila ujumbe ni shilingi 150 tu .
Aidha Rwehumbiza, aliongeza kuwa kila ujumbe mfupi utakaotumwa utampatia Mtanzania pointi 10 ambapo wateja 20 watakaobahatika kuwa na pointi nyingi zaidi kila mmoja atajipatia TIKETI mbili za VIP zitakazomwezesha kwenda kushuhudia fainali ya shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, itakayofanyika tarehe 10 mwezi septemba katika ukumbi wa Mlimani city jijini Dares salaam.
Pia kwa wale watakaohitaji kutoa maoni au mitazamo yao mbalimbali kuhusu Vodacom Miss Tanzania watapata fursa ya kutuma ujumbe mfupi wa maneno wenye neno MREMBO ukifuatiwa na maoni kwenda namba 15550.
Akisisitiza hili Rwehumbiza, alisema ili kuwafahamu warembo wanaoshindania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, Watanzania wote wanaweza kuangalia kituo cha Televisheni cha STAR TV leo kuanzia muda wa saa moja jioni pamoja na CLOUDS TV muda wa saa tatu usiku kila siku pia soma magazeti ya Mtanzania, The African, Dimba, Rai na Bingwa.
No comments:
Post a Comment