Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, August 3, 2011

EXCLUSIVE: JINI KABULA NA SHUMILETA WAONYESHA CHUCHU ZAO HADHARANI

 Jini kabua akionesha chuchu yake mbele kamera na kujivunia kuwa ni poa.. ni white... ni sweet...mmmhh..!
Shumileta nae hakuwa nyuma,tatoo iliyoko ziwani mwake inamng'arisha zaidi na kumfanya aonekane sexy zaidi.


ADHA YA UTOAJI WA HUDUMA YA MAFUTA NCHINI TANZANIA
   Imekuwa shida na tabu leo katika vituo kadhaa vya mafuta jijini Dar baada ya wamiiki wengi kuingia katika kile kinachodaiwa ni mgomo baridi kwa kufunga vituo vya mafuta,wakigomea serikali kushusha bei ya mafuta nchini Tanzania.
   Iliwabidi wenye nagari kuacha foleni na kuingia sheli na vidumu kwani uwezo wa kuingia na gari ulikuwa mgumu kutokana na bodaboda kuzingira pampu za mafuta kwa foleni.


 JANNET JACKSON NI KAMA KAOLEWA
   Could iconic singer Janet Jackson be headed down the aisle for the third time? Word around the water cooler is that Janet and her billionaire boyfriend Wissam Al Mana are preparing to jump the broom as early as later this year.
   According to the rumor mill, the two have been engaged since last year, when Wissam popped the question with a 15 carat diamond ring while Janet was on the   ‘Number One: Up Close and Personal Tour.’
   JJ’s first marriage was back in 1984 to R&b singer James DeBarge, but the union only lasted a year before it was annulled. Seven years later, she married music video director Rene Elizondo and the marriage lasted nine years.
    Though she dated famed producer Jermaine Dupri for 7 years, the two never tied the knot and parted ways in 2009


FLORAH MODEL
Flora model katika pozi tofauti.SEAN KINGSTONE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA NA MTV BAADA YA AJALI
Sean Kingston sat down with MTV's Sway for the first interview since his tragic jet-ski accident back in May.
Sean crashed into a bridge while jet skiing down in Miami during Memorial Weekend.


FRIDAY NIGHT FREESTYLE SPECIAL SEASON ONE
URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle special. Hii ni Reality Programme yenye mchanganyiko wa ucheshi, ubunifu wa kushika Mic mtaani mbele ya kamera na kuonesha vipaji kutoka kwa wasanii waliopo hapa UK. Programme hii itarushwa kwenye TV Hapa UK na baadhi ya Nchi jirani za Ulaya. Vilevile  kutakuwepo na zawadi mbalimbali kwa washindi  na recording deal mwishoni  mwa series.


GENEVIEVE NNAJI KUPIGA MOVIE NA ANGELINA JOLIE?
Genevieve Nnaji amepata shavu la kuwa starring kwenye movie akiwa na Muigizaji mkali toka Marekani Angelina Jolie Voight mtoto wa Actor John Voight uvumi huo umeenea duniani kote.
    Genevieve  ni The Biggest African Silver Screen Star kuwahi kutokea Africa na ni the biggest and highest paying role kwenye tasnia ya Movie barani Africa.
    Pia rumours zilitapakaa kuwa amepata shavu ku-act kwenye movie ya James Bond baada ya kuonekana na wadau wa Hollywood lakini Actress Naomie HarriS.


TOP PIC OF A DAY
Kelly & Beyonce

No comments: