Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, August 14, 2011

VICKY WA REDD'S ALIVYOUZA SURA NA WAREMBO MISS TANZANIA

 Brand manager wa Redd's akiuza sura na wanyange wa Miss Tanzania 2011
Richa Adhia(Matroni wa wanyange hao)
Picha hizi zilipigwa na katika Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo mbezi jijini Dar ambao ni moja ya wadhamini wa shindano hilo.                


BALAA LILITOKEA SUGARLAND CONCERT-INDIANA
Watu zaidi ya watano wameripotiwa kufa kutokana na ajari hii iliyokea wakati tamasha la muziki likiendelea.



BOW WOW AJITOKEZA NA MWANAE HADHARANI
     Bow Wow showed off his beautiful baby girl, Shai, yesterday. The YMCMB rapper held on tight to his daughter as he took a stroll with some friends.
  It's so great to see Bow Wow taking his new role as daddy seriously. He looks smitten by Shai as he spent his afternoon relaxing. The child rapper turned grown man rocked some comfy looking grey sweats and a Chicago Bears fitted.



SWAGGA ZA MITINDO HUKO MAJUU
Kellan Lutz looks amazing. Plain and simple. The sexy actor actually began his career as a fashion model, before blowing up from The Twilight Saga, but has decided to return to his original roots as he poses in a raunchy new ad campaign for Abbott + Main, a new line for Dylan George, a premium denim brand.



WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WAKIWA NJIANI(WAMI)
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipipicha huku wakiwa na  wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.


NICK CANOON NA SELITA EBANKS KABLA YA KUMJUA MARIAH CAREY

   Back in 2007, before supermodel Selita Ebanks was Kanye West’s muse, she was in a relationship with Mariah Carey’s husband and ‘America’s Got Talent’ host, Nick Cannon. Nick eventually put a 12 carat ring on it right in the middle of  uniqueentetz asking Selita to marry him with the assistance of a huge jumbotron. A few months later, the engagement was called off and the couple went their separate ways.



NYWELE ZA RIHANNA HUMGHARIMU $ MILIONI 1 KWA MWAKA
rihanna_stylist_price_cost.jpg
For the cost of one year’s in-state college tuition, Rihanna keeps her hair laid. According to a member of the singer’s entourage, Rih-Rih spends a whopping $22,400 a week to employ the services of super stylist Ursula Stephen.

No comments: