Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Ng'itu lenye No.T804 BAF wamenusurika kifo baada ya gari lao kupata ajali katika kijiji cha Sinza - Miteja katika wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Katika ajali hiyo watu 35 wamejeruhiwa vibaya na kuwahishwa kwenye hospital jirani kwa matibabu. Ajali hiyo imeshuhudiwa na watu wengi wakiwemo wakuu wa Mikoa ya Dar es salaam na Mkuu mpya wa Mkoa wa Lindi ambao walikuwa katika Makabidhiano ya Mkoa huo.
LIL'WAYNE AMNASA SKYLER KIMAPENZI
TIGER WOOD YAMEMFIKA
Tiger Woods was the victim of a brutal wiener attack on a California golf course today -- after a spectator launched a hot dog at the golf legend ... while Tiger was trying to putt.
It all went down moments ago at the Trys.com Open in San Martin -- Woods was focusing on the hole, when out of nowhere ... a fan yelled "Tiger!" and let fly a frankfurter.
Moments after releasing the sausage, the fan was bum rushed by security ... and police arrested him. According to officials, the guy was intoxicated.
Tiger relished the moment afterward, claiming, "When I looked up, the hot dog was already in the air."
MAKAMUZI YA CABO SNOOP LEADERS CLUB
Prakata e'tumba tumba.....
jumapili ya jana wakazi wa jiji la Dar walipata burudani ya kutosha toka kwa msanii anaetamba barani africa Cabo snoop ambapo alifanya sho hiyo katika viwanja vya Leaders[family day).
Supermodel Irina ShaykNUDE and SpottedFor Your Pleasure
Let's put it this way..... someone should replace that dog Mona Lisa with Irina Shayk's most recent nude photo shoot ... it would definitely boost ticket sales at the Louvre.
The photo (ink tragically included) adorns a new coffee table book commissioned by Diddy and Interscope chairman Jimmy Iovine -- featuring lots of hot chicks from all over the planet -- to honor the female butt.
No comments:
Post a Comment