Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, October 1, 2011

EXCLUSIVE:MSANII AVUA NGUO BAADA YA KUFAKAMIA POMBE ZA BURE

        Isabela "Vai wa Ukweli" akiwa chakali kwa mitungi.
        Nguo zilikuwa nzito akaona ora apunguze uzito...Ulevi...Nomaaaa..!!
   Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
     Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
    Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile  Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
    Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.


RIHANNA ADAIWA KUPATA KIBWANA KIPYA
 

Rihanna has been making quite a scene with her recent series of scantily clad photos from the set of her "We Found Love" music video. Now she might have a new guy to add to all the hoopla!
RiRi has been snapped running around fields topless and now she's wearing a see-through shirt. But the see-through shirt isn't the only piece of news in this photo.
Rihanna was caught arm-in-arm with the male model in her video, boxer Dudley O'Shaughnessy. Rumors are swirling that Rihanna doesn't just view him as another guy in one of her videos!


ASHANTI ANARUDI KWENYE GEMU UPYAAA!!
Ashanti is gearing up for a comeback…and she’s looking good!
Yesterday, she brought her bubbly personality to The Today Show as she stopped by to unveil her new projects. Aside from a new song titled ‘Never Too Far Away’, that she recently released, she revealed that the official first single off of her upcoming album will be titled ‘No Good’ and she also discussed her participation in The Boys & Girls Club of America’s new PSA. Check out a few excerpts:

No comments: