Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, October 26, 2011

CLARA ELIAS APATA SHAVU KWENYE BLOG

  Clara Elias,moja ya warembo waliopata shavu la kuuza sura katika blog bana yetu,hivi punde utamuona hapo juu.
  Mbali hayo mrwembo huyu ana umri wa miaka 21,anapendelea ndizi nyama na kinywaji laini,ana elimu ya Diploma pia hupendelea kusikiliza muziki,kucheki movie na kuchati na watu mbalimbali.


PENZI LA JENNIFER HUDSON NA DAVID OTUGA VIPANDE VIPANDE

Say it ain't so! Rumors are circulating that Hollywood couple Jennifer Hudson and David Otunga are splitting!

The duo has been engaged for 3 years and have a 2-year-old son together named David Otunga Jr., but unfortunately things between the two may have hit a rough patch.

FRANCIS MIYAYUSHO NA MBWANA MATUMLA WATAMBIANA MPAMBANO JUMAPILI

Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana misuri mbele ya waandishi wa habari katikati ni Mohamedi Bawaziri mratibu wa mpambano huo


PENZI LA DRAKE NA MS CAT LASAMBALATIKA TENA
Just when I thought I heard it all when it comes to Drizzy and his boo pieces…

Ms Cat aka Cat Washington from Bad Girls Club 5 made a pit stop by Philly’s new Hot 107.9 recently for an interview with radio host Q Deezy and spilled the tea on her relationship with Drake. According to Ms. Cat, she met Drake on the set of the ‘Best I Ever Had’ video and she moved in with him months later. She dished on why she decided to leave Drake after a year and a half and she also revealed that Drake is working with something in the bedroom. Peep the excerpt below.

No comments: