Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, November 15, 2012

ASIA DACHI (UNIQUE MODEL 2012) AWAASA MODELS KUJITOKEZA SIKU YA JUMAPILI KATIKA USAILI WA UNIQUE MODEL 2012

                           

Asia dachi ambae ndiye mwanamitindo anaeshikilia taji hilo baada kuvikwa mwaka 2010 ametoa wito kwa wasichana wenye vipaji vya uanamitindo kujitokeza kwa wingi siku ya jumapili hii kwaajili ya usaili wa kujiunga na shindano hilo.
  Pia nawaomba wabunifu wa mitindo ya nguo kujitokeza kuwavalisha wanamitindo watakaokuwa wamechaguliwa kwani kwakufanya hivyo mtapata nafasi ya kujitangaza na kuunga mkono harakati za ukuaji wa sanaa ya mitindo nchini Tanzania.
 Ushirikiano mzuri umeonyeshwa na wabunifu nguli Asia Idarus na Gabriel Molel kwa kujitokeza na kuunga mkono harakati hizi za unique model 2012 ambapo inategemewa kuwa chombo pekee cha kukuza sanaa ya wanamitindo wachanga nchini Tanzania.
 Usaili huo utafanyika tarehe 18 novemba katika hoteli ya Lamada iliyopo msimbazi center kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana. 
 Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,
Sophernner Investment co,Fabak fashions,ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Michuzi blog,Oriental bureau de change,,88.4 clouds fm,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,Jiachie blog,Mtaa kwa Mtaa blog na Unique entertainment blog.

No comments: