(Asia Dachi-unique model of a year 2010)
Vigezo vya kujiunga na ushiriki washindano hilo :-
Pia vigezo vya mshiriki kuwa mshindi lazima akidhi vigezo vifuatavyo na Jumla ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
(ii) VIGEZO VYA KUSHIRIKI UNIQUE MODEL
· Urefu usiopungua futi 5.8 na kuendelea.
· Sura na Umbo lenye mvuto wa kiuanamitindo.
· Mvuto katika picha.
· Uraia wa nchi yoyote.
· Rangi ya ngozi na iwe asilia.
· Umri wa miaka 18-25.
· Tabia njema na muonekano wa heshima.
· Uchangamfu,Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza.
(iii) VIGEZO VYA KUMPATA MSHINDI
Jumla ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
· sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
· Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
· Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
· Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama 10)
· Nidhamu. (Alama 10)
Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,
Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,T-moto Entertainment,Jiachie blog,wajanja club blog,Mtaa kwa mtaa blog,Michuzi blog na Unique entertainment blog.
No comments:
Post a Comment