Gari
aina ya Harrier lenye namba za Usajili T478BVR lililokuwa likiendeshwa
na Marehemu Hussein
Ramadhani Mkieti (27) maarufu SHARO MILIONEA alifariki duni juzi katika
ajali ya gari kijii cha Maguzoni Soga Wilaya ya Muheza jijini Tanga
likionekamna katika taswira tofauti baada ya kupata ajali hiyo na
kuondoa uhai wa Msanii hiyo.
No comments:
Post a Comment