Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata huduma ya Mtandao
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani
Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa
kutiwa Tindikali jana na watu wasiojulikanwa,katika mtaa wa Mlandege
Mjini Unguja, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa
pole,ambapo amelazwa na kuapatiwa matibabu.
CLICK OLDER POST KWA HABARI ZAIDI
No comments:
Post a Comment