Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 12, 2013

H.BABA NA FLORAH MVUNGI WAPATA MTOTO


Hatimaye ile ndoa iliyofungwa miezi michache iliyopita kati ya Super Star wa TAKEU Bongo Fleva H. Baba na mwigizaji maarufu nchini wa Bongo Movie mwanamama Flora Mvungi imejibu kwa wawili hao kupata mtoto wa kike. 

Kwa mujibu wa Mwanamuziki huyo anayetoka familia ya 'MWANZA KWANZA', Leshontek  H. Baba anasema kuwa anaendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mkewe kujifungua salama mtoto wa kike ambaye tayari kesha mpa jina la Tanzanite, akijivunia kuwa Mtanzania na kuzitukuza rasilimali zake zilizopo.

No comments: