Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 5, 2013

HUSSEIN MACHOZI AFUNGA HARUSI KWA SIRI

hussein

Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.
Hussein-4

Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida.

No comments: