Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, September 10, 2013

NICK MINAJ AKAUNUSHA KUPIGWA KAVUKAVU NA GUCCI MANE

Rapper Gucci mane afunguka kwenye mtandao wake wa kijamii wa twitter na kutoa madai ya kutembea kimapenzi na baadhi ya mastaa na wasanii wa kike, Gucci Mane alitoa list hio ya wanawake aliotembea nao ikiwemo Rapper wa kike Nikki Minaj, Muimba R&B Keyshia Cole, Mke wa Rapper Tyga na maarufu wengine wa kike.
Lakini Rapper wa kike Nikki Minaj alijibu mashambulizi kwa Rapper huyo wa Hip Hop kwa kutoa kauli hii kwenye mtandao wake wa Twitter “May God strike me dead if I ever had sex wit that man. Lmfaoooooooooo”. Nakisha kumdiss Rapper Gucci Mane kwa kusema ” N**** da way ya #ugliness is set up #BubbaGump #crackhead.”

No comments: