Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, September 17, 2013

NINA DAVULURI ATWAA TAJI LA MISS AMERICA 2014


Aliyekuwa Miss New York Nina Davuluri mmarekani mwenye asili ya Kihindi ameweka historia ya Marekani baada ya usiku wa juzi kutwaa taji la Miss Amerika 2014.
Nina ameingia katika historia ya ulimbwende nchini Marekani baada ya kukamata nafasi ya kwanza ya mashindano ya urembo yaliyofanyika katika mji wa Antlantic ambapo pia amekuwa Miss New York wa pili kuwa Miss America.

No comments: