STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray
C’ ameamua kuianika gari yake ambayo anatembelea kwa sasa ...
Gari hilo ni aina ya
Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni
zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't
care...CHL means Chalamila Family..... KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POSTS
No comments:
Post a Comment