

Mkurugenzi wa
Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika
uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.

Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo
Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo





Wadau wakipata picha
Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo

MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo

Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha
Wadau wakifuatilia 


Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA
No comments:
Post a Comment