Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 5, 2013

WAREMBO WA MISS TANZANIA NDANI YA MIKUMI NATIONAL PARK

 Afisa Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwaPA MAELEZO warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 juu ya bwawa la viboko na mamba lililopo katika hifadhi hiyo wakati warembo hao walipo tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 
(Picha na Mpigapicha wetu).

 Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Tutendaga George akiwakawia warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 walio tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani kofia na CD zilizo na taarifa mbalimbali mbali za hifadhi hiyo ya taifa. 
(Picha na Mpigapicha wetu).
 Afisa Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Lidya Mandara akiwagawia vitabu vilivyo na taarifa ya hifadhi hiyo warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 walio tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 
(Picha na Mpigapicha wetu).
 Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 

No comments: