Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, September 29, 2014

METTY KUZINDUA WIMBO WA NAJUA JUMATANO HII

Brand new song
Wmbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii  katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.
Wimbo huo amashirikishwa msanii Conrad anaekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava ikiwa wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya watapata nafasi ya kumfahamu msanii huyo.
Najua ni wimbo uliotayarishwa katika studio mpya za kisasa Centric Records chini ya producer Eng.Davy Machords.
Metty amewaomba wadau na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kutoa ushirikiano wa nguvu katika kazi zake za muziki.

No comments: