Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, March 10, 2012

COOLIO ATUPWA JELA MOJA NA N MWANAE

 Unique Entertainment  has learned rapper Coolio was arrested in Las Vegas today ... and is currently behind bars at the same with his kid.
Law enforcement tells us ... Coolio was a passenger in a Nissan Versa which was pulled over for a routine traffic violation early Friday morning. 

 We're told the cops ran Coolio's name in the system and noticed he had 2 active bench warrants out for his arrest stemming from multiple traffic violations.
Coolio was arrested and hauled to Clark County Detention Center -- the same place where his son Grtis is rotting away for allegedly robbing some dude at gunpoint a few months ago.


Friday, March 9, 2012

MR.BLUE AMDUNGA MIMBA MPENZI WAKE


Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba hivi sooon!!

WAINGEREZA WASHANGAZWA NA JIKO NA CHOO VINAVYOTUMIWA NA WALIMU WA SHULE YA MSINGI MIGUGU JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI

 
Raia wa nchini Uingereza wakionyeshwa choo kinachotumiwa na familia tatu za walimu wa shule ya msingi ya kijiji cha Migugu jimbo la Singida Kaskazini.
Jiko linalotumiwa na familia tatu za walimu wa shule ya msingi ya kijiji cha Migugu jimbo la Singida Kaskazini.

BMT YAMFUNGIA MAISHA KATIBU WA JUDO

Kamati ya Nidhamu, Rufaa na Usuluhishi ya Baraza la michezo la Taifa baada ya kupitia, kuchambua na kumhoji kiongozi wa mchezo wa JUDO Ndugu Shabani Kashinde Bundala, ambaye alikuwa katibu Mkuu wa Chama hicho kuhusu tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa watu nje ya nchi kwa kisingizio kuwa ni wanamichezo ambao wanakwenda kushiriki mashindano yaliyoandaliwa huko, imeridhika na yaliyobainika katika sakata hilo bila shaka yoyote ile na hivyo:-

Kamati  inamfungia maisha aliyekua katibu mkuu wa Chama cha JUDO Tanzania Ndugu Shabani Kashinde Bundala kujihusisha na mchezo wa JUDO kama Kiongozi kuanzia Tarehe 03 Machi, 2012. Aidha Bwana kashinde Shabani Bundala anafungiwa maisha kujihusisha na maswala ya michezo kwa ujumla kwa sababu zifuatazo:-

Bwana Kashinde Shabani Bundala amebainika kujihusisha na mipango ya kusafirisha watu nje ya nchi kwa kisingizio kuwa ni wanamichezo wanakwenda kushiriki katika michezo iliyoandaliwa huko bila kibali wala ruksa kutoka Baraza la Michezo la Taifa, huku akitambua wazi kuwa hilo ni kosa na amefanya hivyo kama ifuatavyo:-

Mapema mwaka 2011 alisafirisha watu wapatao 27 akiwemo nay eye mwenyewe mpaka Nairobi kwenda kuomba Viza ubalozi wa Poland. Watu hawa baadhi walinyimwa Viza kwa maelezo kuwa nyaraka zilizowasilishwa katika ubalozi huo zilikuwa bandia na hivyo kusababisha ubalozi  kuwasiliana na Serikali juu ya uhalali wa shughuli za Ndugu Kashinde na timu yake. Hata hivyo ilibainika wazi kuwa Baraza la Michezo la Taifa haikifahamishwa juu ya safari hiyo ya wanajudo nje ya nchi.

Mwezi Oktoba, 2011, Ndugu Kashinde aliwasilisha orodha ya majina ya watu kumi na nane (18) katika ubalozi wa Ufaransa. Hata hivyo baada ya Maafisa wa Ubalozi kuchambua majina na nyaraka husika walibaini kuwa nyaraka zao nyingi zilikuwa batili na za kugushi. Ubalozi wa ufaransa ulifanya mawasiliano na Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ambao nao waliwasiliana na Wizara husika na hatimaye Baraza la Michezo, hata hivyo ilibainika wazi kuwa hakuna taarifa iliyokuwa imetolewa na chama cha JUDO kwa Serikali juu ya afari hiyo. Hivyo haikuwa na kibali kutoka Serikalini.

Aidha kwa kua suala zima la ndugu Kashinde linaonekana kuwa ni la makosa ya jinai, Baraza la Michezo la Taifa halijui kuna nini nyuma ya Jeshi la Polisi kwa uchunguzi na hatua zaidi kadri ya taratibu zao.
Aidha, tunapenda kuchukua fursa hii kutoa wito kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na michezo wa JUDO kugombea uongozi katika mchezo huo ambao uko wa kutokana na Viongozi waliokuwepo kumaliza muda wao.

Baraza la Michezo la Taifa linaomba kutoa tahadhari kuwa kuanzia sasa Wanamichezo wote watakaotaka kusafiri nje ya nchi iwe timu au mtu mmoja mmoja lazima wapeleke taarifa Baraza la Michezo la Taifa siku 14 kabla ya safari yao ili wapewe kibali kama Sheria ya Baraza lamichezo la Taifa inavyotaka.

MKALI WA FACEBOOK KUPIGA SHOO KESHO VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAM​A

Msanii wa Mziki kutoka South Africa, Cleopas Monyepao (DJ Cloe) kulia akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana kuhusu onesho lake la leo litakalofanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama kushoto ni Msanii aliyeongozana nae Dumiseni Mkihanya.Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo A.K.A Ommy Dimpoz kushoto akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuhusu Onesho lake litakalofanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama kulia ni msanii kutoka, South Africa, Cleopas Monyepao (DJ Cloe) na Dumiseni Mkihanya na Meneja wa Kinywaji cha Savana, Diana Musheruzi

WAUGUZI 25,000 WALIOGOMA KUFUTWA KAZI KENYA

WAKATI wauguzi nchini Tanzania wakiwa kwenye mgomo usio na kikomo serikali ya Kenya imewafukuza kazi wauguzi 25000 waliogoma kwa kushindwa kurudi kazini.Msemaji wa serikali Alfred Mutua ametoa wito kwa ‘ watu wenye taaluma ya afya wote’ ambao hawana ajira au waliostaafu kufika hosiptali za umma kwa ajili ya kuajiriwa siku ya Ijumaa.
Wafanyakazi wa umma ambo wengi ni manesi waligoma tangu wiki iliyopita wakitaka kupandishiwa mishahara, marupupurupu na kuboreshewa mazingira ya kazi. Kwa wastani mfanyakazi wa sekta ya afya anapata kiasi cha shilingi 25,000 zaKenya($300, £190) kwa mwezi kwenye mshahara wake na posho.
Bw Mutua alisema wafanyakazi wa afya ‘hawaufuata maadili’ kwa kutorejea kwenye majukumuyao. Majina ya wafanyakazi hao yameondolewa katika orodha ya wafanyakazi wanaolipwa mshahara na si ‘waajiriwa wa serikali tena’

MAUAJI YA KUTISHA YATOKEA MJINI MBEYA

Mwili wa Marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), ukiwa umeharibika vibaya baada ya kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
 Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
  Ndugu wa marehemu wakilia baada ya kuuona mwili wake Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MBEYA MWANAMKE AKATWAKATWA NA MAPANGA, MWINGINE APIGWA RISASI NA MMOJA ACHOMWA KISU CHA TUMBO KISA REDIO AINA YA RISING YA SHILINGI 16,000/=

MYA WA BLUE ATEMWA KIAINA NA WENZAKE

The Blu3 Gals separated way back in 2008 with Cindy leaving the group and being replaced with former Kombat dancer Mya Baganda. In 2010, the new Blu3 decided to pursue solo projects. 
Just last week, we told of how the original gals, Cindy, Lillian, Jackie and not Mya were planning to come back together to record music and perform on the same stage. This shocked many Mya inclusive.
Mya appreciates the move now that these were the original gals as she only came in much later to replace Cindy. "They are so close, It is understandable, I miss the group, but I understand it..."
Mya's solo career has been progressing steadily with her latest track 'Baibe' that she did with singer Maro mid last year.

CASSIE NA DIDDY NDUKUNDUKI KWA SANA HADHARANI


The always stunning Cassandra Ventura, Cassie for short, stopped by BBC Radio One studio in London, England yesterday afternoon.


The singer/model spilled on her infamous relationship with Diddy, working with Nicki Minaj and reconnecting with her ex-lover Ryan Leslie. Here are some of the juicy highlights: 
On Kanye’s new womenswear line: “It looks really, really great. The quality of it is really good and you can see that he’s grown since his last show.”
On meeting Shyne during Paris Fashion Week: “He is one of the nicest people, just like Rick Ross, and down-to-earth. I like when people have very little words when they speak. When they say something, it means something. They’re not just talking to hear themselves talk.”
On her rumored romantic relationship with Diddy: “I choose to say that I don’t talk about my personal life, but he is one of my very good friends.”
On her sophomore album title: “Electro Love is no longer the name of the album. I switched it. I’m gonna announce it on my website.”
On whether Nicki Minaj will appear on the album: “Possibly,” she said before Westwood responded, “That means yes.”
On reconnecting with Ryan Leslie, who produced her debut: “I still haven’t worked with him on this album, but we did meet and he heard my new music. I’m still open to do something ’cause we’re not done until we’re done with it.”
Cassie never mentions Diddy, so while she still hasn't quite admitted anything - at least we got an acknowledgement. Stay tuned!

UZINDUZI WA ALBAMU YA MR.VEGAS ULIVYOFANA

mr_vega_luciano_album_launch.jpg
Wednesday March 7, 2012- International Reggae -Dancehall Music star Mr. Vegas launched his new double album "Sweet Jamaica" on March 6, at Mango Ranch in Kingson. The launch was successful with performances from Natel, Barrington Levy and the man of the night, performing from his album, Mr. Vegas collaborating with Luciano and Nadine Sutherland. Rory from Stone Love was the DJ for the night.
The Launch was hosted by radio personality Claudette Powell and had Mickey Bennett as guest speaker. Executive Director of Jamaica Reggae Industry Association, Charles Campbell endorsed the album and commended Mr. Vegas on his career throughout the years.
The Launch focused on the Reggae aspect of the double album. The two discs, Sweet Jamaica Reggae and Sweet Jamaica Dancehall together feature over 30 tracks including exclusive new material and some of Mr. Vegas’ recent singles. Sweet Jamaica Reggae is a fusion of Ska, Rocksteady, and foundation Reggae rhythms. Mr. Vegas shows off his singing talent on remakes of Toots and the Maytals’ classic ‘Sweet and Dandy,’ and Alton Ellis’ Rocksteady cover of Brenda Holloway’s 'You Make Me Happy'.
Sweet Jamaica Dancehall features Mr. Vegas’ typically energetic Dancehall delivery on recent dancehall hits including the current dance-driven single 'Bruk it Dung'and the street anthem 'Certain Law'. Sweet Jamaica Dancehall also includes a live version of his internationally acclaimed gospel-flavoured single 'I Am Blessed'.

Thursday, March 8, 2012

WEMA SEPETU NA SKENDO YA KUIBA MUME WA MTU

      Wema Sepetu.
  Gari inayomilikiwa na Wema Sepetu kwa madai ya habari za udaku kununuliwa na kibopa huyo.
Baada ya kuletewa fujo weekend iliyopita na mwanamke anaedai muigizaji Wema Sepetu amemuibia mume, leo mrembo huyo (Wema) ameamua kuzungumzia upande wake ambapo kama haukuingia. juzi march 5 kulikua na stori ya huyo mwanamke kumfanyia fujo Wema baada ya kumkuta yeye na wasanii wenzake ndani ya Pub ambayo inamilikiwa na mwanamke huyo.

Wema amesema “kwanza mimi mwenyewe nilishtuka sana, nilikua natafuta location ya kucheza movie yangu kwenye mgahawa, nikawa nimepaki nje kutoka na kurudi nikamkuta mwanamke ndani ya gari jeupe limepaki pembeni yangu siijui wala huyo mwanamke simjui nikamchukulia kama mmoja wa haters, akaanza kufanya fujo wakati mimi huwa siwezi fujo, nikajitahidi kutoka eneo la tukio na kupiga simu polisi na kuja kumchukua huyo mwanamke na kwenda polisi Osterbay”

“Kiukweli sitembei na mwanaume wake, sitembei na mume wa mtu……. alafu yule ni mwanamke mtu mzima sana hawezi kugombana na mimi, mi mtoto mdogo akitaka aje na uthibitisho, alafu anasema gari ninayotembela ni yake? gari ni yangu mpaka kazi ninazo mimi huo ni ujinga na ndio maana siwezi nikaachia hii kitu iende hivyo hivyo tu kama anavyotaka yeye” – Wema

“Kama kweli ningekua namchukulia mwanaume wake sidhani kama ningekua nimefikishana nae hapa tulipofika manake ningekua namuogopa, sasa simuogopi na afanye chochote anachotaka kufanya, waniache na maisha yangu nimekaa kimya mtoto wa watu wananifatafata, nikisema watasema nimesema, waniache basi mi mwenyewe nina maisha yangu ya kuishi” hayo ni maneno ya  Wema ambae pia amekataa na kuapa kwamba hajawahi kutumia bili za milioni 1.5 mpaka mbili kwenye baa ya huyo mwanamke, huku ikidaiwa kwamba bili hizo zimekua zikilipwa na huyo pedeshee ambae ni mume wa mwanamke mwenye pub.

Jana mmoja kati ya marafiki wa Wema akiwa ni mdogo wake na mke wa pedeshee huyo, alikiri kwamba urafiki wake na Wema umevunjika baada ya kugundua anatoka kimapenzi na mume wa dada yake (yani mume wa mwanamke aliemfanyia Wema fujo)

VODACOM YATOA WASHINDI 100 WA SH. ELFU 50 KILA MMOJA KATIKA DOO YA SIKU YA PROMOSHENI YA M-PESA


Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa Vodacom Tanzania,  Matina Nkurlu (kushoto)  akionesha nambari za washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh. 50, 000 kila mmoja, wakati wa hafla ya kuchezesha droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom, Reenu Verma na Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid.

BREAKING NEWS: DALADALA YAUWA WANAFUNZI WAWILI ENEO LA BUGANDO MWANZA

Leo majira ya saa nne asubuhi katika barabara ya kuelekea Hospitali ya Bugando imetokea ajali mbaya ya basi dogo la abiria (daladala) iliyokosa uelekeo na kusababisha vifo vya watoto wawili.Askari wa jeshi la polisi wakiondoa vizui vya mawe njiani barabara ya keuelekea Huspitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mchoro wa ajali.
"Hii gari ilikuwa inatiokea Bugarika inashuka kuelekea mjini, kwa spidi aliyokuwa nayo dereva kwa kweli ilikuwa hairidhishi kwani gari liliyumba kabla ya kufika eneo la Bar ya Bugando Hill, imagine sisi tulikuwa pembeni ya barabara lakini kwa hofu tukalipisha tukakaa pembeni kabisaa. Lilipofika karibu na Shule ya msingi Bugando dereva wa gari kona ikawa kama imemshinda akakwepa akaenda kugonga nguzo ya umeme akawa anahangaika kurudi barabarani eneo ambako kuna kama kivuko kwa wanafunzi ikamshinda na kupitia watoto wawili waliokuwa wakisubiri kuvuka barabara kisha akagota kwenye mawe yaliyopangwa pembezoni" alisema Joseph Nyanda Karumbeti almaarufu kwa jina Baba Teresa, shuhuda wa ajali hiyo.

Mtoto Elizabeth Kamsoka mwanafunzi wa darasa la 7 shule ya Msingi Sahara alifariki dunia papo hapo katika eneo la ajali mara baada ya kupasuka kichwa mazingira yanayotisha, nae Baraka Revocatus mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Bugando amefariki dunia akiwa Hospitali ya Rufaa Bugando wakati juhudi za madaktari kuokoa maisha yake zilipogonga mwamba.
Licha ya gari hili kuwa na mgonjwa aliyekuwa amezidiwa wananchi hawakutoa nafasi lipate pita.
Askari usalama barabarani akihusika na mchoro wa ajali hiyo iliyosababishwa na daladala ambapo dereva wake mara baada ya ajali alikimbia kusikojulikana.
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZIFUATAZO
Haya ni mabaki ya vipande vya fuvu la mtoto Elizabeth, blogu hii inaomba radhi kwa picha hii.
Ilikuwa ni hali ya kutisha blogu hii inaomba radhi kwa picha hii ya masalia ya ubongo wa marehemu eneo la ajali.
Kwa muda wa takribani saa nzima barabara hiyo haikupitika kwani mara baada ya ajali hiyo kutokea kundi la watu wanaoishi maeneo hayo walijitokeza na kufunga barabara kwa kuweka mawe makubwa hali iliyosababisa ugumu wa huduma za usariri kwa magari ya wagonjwa na abiria wanao toka au kuelekea Hospitali ya Bugando kupata huduma.
Nguzo iliyogongwa.
Baadhi ya abiria waliopata majeraha kwenye daladala iliyosababisha ajali wamepelekwa hospitali ya Bugando kupatiwa matibabu.

Mwenyezi Mungu zilaze pema peponi roho za marehemu.
Amen.

WAZIRI WA AFYA KUJIUZURU ILA SI KWA SHINIKIZO LA MADAKTARI

Waziri wa Afya Dr Haji Mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo la madaktari hao! Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha dharura cha baraza la Mawaziri cha kujadili mgomo mpya wa Madaktari na Manesi! Hata hivyo Mponda ametoa rai kwamba watanzania wawe makini sana na jinsi watu wanavyotumia migogoro kwa maslahi yao binafsi huku wakisababisha maafa makubwa kwa raia wasio na hatia, pia aliongeza kwa kusema kuwa kama wanataaluma wataingia kwenye ushabiki wa siasa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa na kudhoofisha ustawi wa taifa letu!

BAADHI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI NCHINI TANZANIA (2010 / 2011)


 Upokeaji wa kitabu kwa ajili ya wanafunzi, The Dutches of Cornwall Camilla
Parker Bowles (kushoto)akikabidhi kitabu kwa Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete kwenye viwanja vya WAMA jijini Dar es Salaam (kulia) kitabu hicho ambacho kimetimiza idadi ya vitabu milioni moja vilivyotolewa na kutoka kwa taasisi ya British Charity READ International. (2012).

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia) akijadiliana na wanafunzi wenye  vipaji maaluum  katika maabara ya chuo hicho jinsi ya upasuaji wa mnyama .Mama Kikwete alitembelea Malaysia 2011.

Mkee wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto jinsi ya kunawa mikono salama na sabuni wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam 2011.

Picha ya chini,  wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki matembezi ya kuchangia watoto jijini Dar es Salaam 2011, (kulia) ni Picha ya kushoto, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki matembezi ya kuchangia watoto jijini Dar es Salaam 2011,(kulia) ni Mkurugenzi wa Benki ya Barcklays Kihara Maina.

WAETHIOPIA 98 WAFIKISHWA MAHAKAMANI MOROGORO KUJIBU MASHITAKA YA KUINGIA NCHINI ISIVYO HALALI

 Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakitaremka kwenye gari la polisi katika Mahakama ya Hakim Mkazi Morogoro, kujibu mashitaka ya kuingia nchini isivyo halali. 
Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro jana, wakisubiri kusomewa mashitaka likiwemo la kuingia nchini bila kibali walipokamatwa katika Kijiji cha Melela, Wilaya ya Mvomero wakati wakisafiri kuelekea Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuvuka mpaka.Kesi hiyo iliahirishwa kwa kukosa mkalimani. 
Picha na mdau Juma Mtanda.

RIHANNA NA KARRUECHE WAMGOMBANIA CHRISS BROWN MTANDAONI

rihanna chris brown
It's no secret that there has been a lot of underlying tension brewing between Chriss brown'scurrent girlfriend Karrueche Tran and his ex-girl/superstar Rihanna. 
 

It's totally normal for the new girlfriend not to like the ex-girlfriend and vice versa, but ever since Chris Brown and Rihanna have made it very public that they are indeed friends, the subliminal shade from Rihanna and Karrueche has gotten stronger than ever.

Earlier this morning, we reported Rihanna throwing a little shade at Karrueche with an old Lil Kim lyric. 

Rihanna threw a little subliminal diss at Karrueche, who is an aspiring model, by tweeting: 
 
A few hours later, Karrueche tweeted:

Ever since Rihanna and Chris stunned the world with not one, but two remixes, it's been very apparent that Rihanna wants that old thang back, and Chris Brown still has love for the Bajan beauty. 
GlobalGrind went back and found all the suspect tweets Rihanna and Karrueche have tweeted over the past few months.

Wednesday, March 7, 2012

KUNDI LA BLUE 3 KURUDI TENA UPYAA..!!

Ex Blu3 star who is now rumoured to be back to the group after they reunited with Jackie and Lillian has shown the other side of her by coming to the rescue of a one year old who was burnt by her father after a simple argument with the mom.
                                     cindy with blue 3 girls in Uganda
Cindy and a few well wishers were able to raise some funds to get the baby to hospital whose skin had started rotting after failing to raise the funds for treatment. Cindy who was at Case Clinic where the little girl is admitted had this to say:
"Hey guys. recently I met a very beautiful little girl called 'Mellisa Nakawesa'. She's one year old and was burnt by her own father over a misunderstanding with her mum. She has lost almost all her skin due to this and is in so much pain, u cant imagine.
                                    t
 Her mother is abt 19yrs old and unemployed so by the time I saw them they had been at a hospital for 2 months without treatment because they didn't hav..." Meanwhile, two months down the line, the man behind this act has not yet been brought to book.
Cindy joins the likes of Bebe Cool who got a girl from Lugazi suffering from a mouth cancer but unfortunately, she passed away.
More on Cindy

Mh.MOHAMED DEWJI APATA TUZO YA KIONGOZI BORA MDOGO DUNIANI


MFANYABISHARA kijana na Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mohammed Dewji (pichani) ametangazwa na Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) kuwa kiongozi bora mwenye umri mdogo duniani (Young Global Leader - YGL), akiwa ni Mtanzania pekee.Dewji anyejulikana pia kama Mo ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa moja ya kampuni kubwa nchini, Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) amekuwa ni mtu pekee kutoka Tanzania kupewa heshima hiyo kwa mwaka huu.
Ukanda wa Afrika Mashariki umetoa watu watatu, wakiwamo wawili kutoka Uganda na Kenya.Tuzo hiyo hutolewa kila mwaka na jukwaa hilo ambalo huwatunuku viongozi wadogo 200 duniani kote kwa kutambua mchango wao kwa jamii na kwa mustakabali wa maendeleo ya dunia. Kamati iliyoteua jina la mshindi, iliyoongozwa na Malkia Rania Al Abdulla wa Ufalme wa Jordan, ilifanya kazi hiyo baada ya kupitia wasifu wa maelfu ya viongozi kutoka kila ukanda wa dunia na katika sekta mbalimbali.

"Nina furaha kubwa kwa Jukwaa la Uchumi la Dunia kwa kunipa heshima hii kama kiongozi mdogo wa dunia, hivyo nitawashawishi vijana wengine zaidi Tanzania kutimiza ndoto zao ili kuwa na maisha mazuri baadaye," alisema Dewji alipozungumza Dar es Salaam jana.Mfanyabishara huyo alizaliwa mwaka 1975, Singida Vijijini na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika na mwaka 1992 alikwenda Marekani kusoma, akajiunga na masomo ya juu katika Shule ya Saddlebrook iliyopo Florida.


Alipokuwa Florida, Mo alianza kuonesha dalili za uongozi baada ya kuwa rais wa wanafunzi na ndipo wanafunzi wenzake walipoamua kumpa jina la utani la Mo.Mo alihamia katika Chuo Kikuu cha Georgetown, Washington DC na kusomea masomo ya Biashara ya Kimataifa na Fedha na pia masomo ya Teolojia ambayo kwa kiasi kikubwa yalimfanya aipende na kuijali jamii.Mwaka 1998 aliingia katika biashara na moja kwa moja alianza kuongoza Kampuni ya MeTL inayomilikiwa na familia yake na kudumu kwa miaka miwili. Aliongoza kampuni hiyo na kupata mafanikio kochokocho kama kutoa ajira kwa watu 24,000, hivyo kuchangia asilimia 3 ya pato la nchi.


Mbali ya biashara, mbunge huyo pia alijihusisha katika michezo hasa mpira wa miguu kwa kufadhili timu kadhaa za nchini, pia anatambuliwa kwa kunyanuyua soka ya Tanzania baada ya kuipa mafanikio timu ya taifa (Taifa Stars) na Simba.Katika uchaguzi wa tatu wa vyama vingi wa mwaka 2005, Mo aligombea ubunge a kushinda Jimbo la Singida Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kushinda kwa asilimia 90 ya kura zote.Aliapishwa kuwa mbunge wa jimbo hilo Desemba 29, 2005 na pia miaka miwili baadaye (2007) chama chake kilimteua kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu (NEC) kabla ya kuchaguliwa tena kuongoza jimbo lake mwaka 2010.


Dewji atakuwa sehemu ya jukwaa la viongozi hao wadogo duniani (Forum of Young Leaders) ambalo linaundwa na wajumbe 668 watakaokutana kati ya Aprili 14 na 18 mwaka huu nchini Mexico.Viongozi wadogo duniani wanajihusisha na shughuli za kijamii, kushiriki katika matukio yanayoandaliwa na WEF na kuandaa matukio yao wenyewe yakiwemo kuongoza vijana duniani.

BIFU LA BOBI WINE NA BEBE COOL KUTIFUA VUMBI MAY 4-6 MJINI KAMPALA

  Dates for the highly-anticipated music contest dubbed ‘The Battle of Champions’ between music arch-rivals Ghetto President Bobi Wine and Big Size Bebe Cool have been released.
Come May 4th, 5th and 6th, Bebe Cool and Bobi Wine will finally face off and show the public who is better than the other on the same stage at yet to be announced venues.
According to reliable sources, the organizers of the event have finalized many of the requirements for the show to take place. However what is remaining is the most important requirement for the event to happen- agreeing on how much to pay each musician.
Currently both Bebe and Bobi are asking for money over and above what they may actually get. First Bebe Cool asked for 50 million for him to perform with Bobi Wine. The latter reiterated by asking for a whooping 80 million.  Nonetheless, basing on available statistics about Ugandan music, both musicians are asking for far too much. If the battle is to take place then both will settle for less payments.
Yesterday Bobi Wine used his Facebook account to give his stand about the impending Battle of Champions. He wrote;
“Ok,let me put this straight, if Bebe Cool wants a stage battle with me, am gonna give him one but only on one condition, I take 85% of the money made, if not, Anoonye bane(Let him find his class).………..After all I will be elevating him because he needs it and I don't.”