Wakizungumza na blogu hii katika eneo la tukio wananchi hao wamesema kuwa mnamo mwezi September 3 mwaka huu majira ya saa 10.30 jioni Mwenyekiti wa mtaa huo bwana Kamani akiongozana na watu wake kwa kutumia nguvu alibomoa nyumba na misingi ya nyumba za wakazi hao hali ambayo wanadai ni makosa na haikuwa sahihi.
Kupitia amri ya mwenyekiti wa kitongoji hicho nyumba nyingi zimebomolewa, mali kuharibiwa na nyingine kupora huku baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiachwa hawana mahala pa kujisitiri.ENZI ZA UTOTO WA SALHA ISRAEL
Miss Tanzania 2011 Salha Izrael"QUEEN OT TEZEE" akiwa katika pozi tofauti wakati wa utoto wake. Salha alivikwa taji la Miss Tanzania 2011 wiki iliyopita Septemba 10, 2011 katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
MISS ANGOLA NA MISS UFARASA WAZUA BIFU KALI





No comments:
Post a Comment