Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, September 15, 2011

UARIFU WAKITHIRI MJINI MBEYA,MAJAMBAZI NJE NJE..!!


Bwana Elia Daudi Mwalonde mkazi wa Uyole akiwa hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya wodi namba 1 baada ya kupigwa nondo.
Bwana Meshack Kombo Mwakibinga mwenye umri wa miaka 33, mzaki wa Chunya alipingwa nondo eneo la Soweto jijini Mbeya akiwa hospitali ya Rufaa Mbeya wodi namba 1.
Bwana Zefania Mwangwale mwenye umri wa miaka 31 mkazi wa Uyole akiwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya. Tukio hili lilimkuta Bwana Zefania akiwa na wenzake Hans Kyando na Shitambali Shitindi wakiwa kwenye Grocery ya WP Frola walivamiwa na kupingwa nondo na kuporwa simu aina ya Nokia na Pesa taslmu shilingi 420,000/= mali ya Askali WP FROLA ambaye ni mmiliki wa Grocery hiyo.iliyopo Uyole jijini Mbeya.


ALICIA KEYS APEWA ZAWADI YA GARI NA SWIZZ BEATZ

Our homie Swizz Beatz blessed his wife Mrs. Alicia Keys with a gift on HIS birthday!
Swizz got her a brand new Lotus which he designed himself.
Last month the brand announced that they named Swizzy Vice President of Creative Design and Global Marketing and it looks like he's been putting his skills to the test.


MISS UNIVERSE TANZANIA 2011,NELLY KAMWELU ARUDU NCHINI LEO

MISS Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi.

Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi wakati akiwasili kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano .
Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na alifanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa



BREAKING NEWS:MOVIE STAR WA SPARTACUS AFARIKI BUNIA

Spartacus_Whitfield_dies_lymphoma_actor.jpgANDY Whitfield, the 39-year-old star of the cable series Spartacus: Blood and Sand, has died in Sydney.
Manager Sam Maydew said Whitfield died yesterday of non-Hodgkin lymphoma. Whitfield's wife Vashti in a statement called her husband a "beautiful young warrior" who died on a "sunny Sydney morning" in the "arms of his loving wife".
Whitfield - who was born in Wales and lived in Australia - was a virtual unknown when he was cast as the title hero in Spartacus, a hit original TV series that made waves with its graphic violence and sexuality.
Whitfield was preparing for the second season when he was diagnosed 18 months ago. Australian actor Liam McIntyre took over the role this year.

No comments: