

NI mara ya pili kwa Joyce kilia kuolewa ndani ya kipindi cha muda mfupi baada ya kutalakiana na mumewe wa ndoa ya kwanza Dj Nelly...tears to nelly duuu.
MIAKA 50 YA UHURU WA TAIFA LETU
Jamani haiwezekani kwa hili pia magonjwa ya Mlipuko kutishia eneo hili,
Wizara husika tazameni kwa macho ya huruma na kutekeleza pia ahadi
Mashuleni.
watoto hawa wanasoma kwa kuketi
chini,wanaweza kuwa wazazi wao ndio wamiliki wa maduka yanayozunguka
katika mji maarufu wa Tunduma, wametelekezwa?serikali iko wapi mbona
imewatelekeza watoto hawa?
No comments:
Post a Comment