Ukweli bila pingamizi ni kwamba Mrembo Salha Israel ndiye anaekimbiza warembo hao 29 akiwakilisha kanda ya Ilala ambapo washiriki wengine Kama Alexia na Jennifer wamekuwa tishio katika shindano hili,ndiyo wanaotegemewa kufanya vema zaidi leo usiku.SHANGILIA ILALA ZONE LEO USIKU.
Salha Israel... Our Dream 2011.
Jennifer Kakolaki.Alexia Williams.
uniqueentertz blog imekuwa sambamba na warembo hawa kuwapa sapoti ya kutosha mwanzo mwisho.
MELI YAZAMA ZANZIBAR MAMIA WAPOTEZA MAISHA
zaidi yawatu 600 wahofiwa kufa maji,jeshi la uokoaji likitoa msaada wa kuwaokoa abiria walozama.
Mamia ya watu wanahofiwa kufariki dunia baada ya feri kuzama katika pwani ya kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania ikiwa imewabeba zaidi ya watu mia tano.

Takriban watu 260 wameripotiwa kuokolewa
Feri hiyo MV Spice Islander ilikuwa ikisafiri kati ya kisiwa kikubwa zaidi cha Unguja ikielekea Pemba ambacho pia ni kisiwa cha Zanzibar.
Hadi kufikia sasa tumeopoa miili 43, lakini tumewaokoa manusura 259
Mohammed Aboud, waziri anayehusika na maswala ya dharura Zanzibar.
" ," amesema Mohammed Aboud, waziri wa Zanzibar anayehusika na mikasa. Ameongeza kuwa 40 kati ya wale waliookolewa walikuwa na mejeraha mabaya.
" ," amesema Mohammed Aboud, waziri wa Zanzibar anayehusika na mikasa. Ameongeza kuwa 40 kati ya wale waliookolewa walikuwa na mejeraha mabaya.
PICHA ZETU
Mtoto Jacky akipozi kwenye picha nyumbani kwa babu yake mzee wilison Magese.
Yason leo tunywe ngapingapi?...aaah Makoye mi moja tu leo..
Dar inazidikuwa na majengo ya kisasa siku hadi siku vitu vipya vinaporomoshwa."Dont hate me b'cause am beautiful" Miss kagera 2011,cocklate baby
Biashara ya viatu meshamiri jiapanda ya barabara ya kawawa na Morogoro.
JE WAIJUA BUKOBA?
Katikati ya mji wa bukoba maeneo ya stendi kuu ya mabasi,bustani nzuri yenye nakish ya mwamba,ziwa na migomba.
AMWAGIWA TINDIKALI NA KUUNGUA VIBAYA MJINI IGUNGA


Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga.
No comments:
Post a Comment