Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, May 2, 2012

TASWILA YA USHINDI WA KESI YA MPENDAZOE JIMBO LA SEGEREA


Mbunge wa jimbo la Segerea (CCM) na naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Makongoro Mahanga akilakiwa na wafuasi wa wake baada ya kuibuka kidedea katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo iliyokuwa inamkabili katika mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Fredi Mpendazoe..
Baadhi ya wafuasi wa Fredi mpendazoe na wafuasi wa Makongoro Mahanga
wakiwa nje ya mahakama mara baada ya hukumu ya kesi hiyo kutolewa.
Katika Wafuasi wa Freddy m Mpendazoe wakiwa na picha ya aliyekuwa mgombea wao baada ya kushindwa kesi hiyo.
Askari wa jeshi la polisi wakiwa makini kulinda usalama mara baada
ya kesi hiyo kuamuliwa katika mahakama kuu leo.

No comments: