| Kiongozi
  wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea
 leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. Dk Ulimboka 
amepokelewa leo na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki,  
alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa  
kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye  
matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli  
zozote atakazopewa kuanzia sasa.akiwasili jana Agosti 12, 2012 akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini | 
No comments:
Post a Comment