
Mkurugenzi
  Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumza na
  Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande 
ofisini  kwake mapema leo mjengoni hapo,ambapo baadaye pia alifanya 
ziara fupi na  kujionea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo namna 
ambavyo vinafanya  kazi.

Mazungumzo yakiendelea ya hapa na pale.

Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akisikiliza jambo kwa umakini.

Mkurugenzi
  wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na wageni wake mara baada
  ya kufanya mazungumzo nao mapema leo,kwenye ofisi za kampuni  
hiyo,Mikocheni jijini Dar.

Mkurugenzi
  wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na mgeni wake Kiongozi  
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande.

No comments:
Post a Comment