Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halis , inayochapisha Gazeti 
la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti 
yaliyolalamikiwa na Serikali.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi, inayo chapisha Gazeti
 la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari 
katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali 
kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la Mwana Halisi jana ambapo 
alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka 
serikali kufuta mara moja Tamko lake Kushoto ni Mhariri wa Gazeti  hilo 
Bw, Jabir Idrissa.

No comments:
Post a Comment