Karibu ijumaa hii katika hotel yenye hadhi ya nyota nne Giraffe ocean view kutizama vipaji vya walimbwende wanaowania taji la mrembo mwenye kipaji ambapo kiingilio ni 15,000/= na getini itakuwa 20,000/=,kuanzia saa moja usiku na kuendelea ,tiketi za awali zinapatikana Shear Illusion (mlimani city)..USIKOSE..!





No comments:
Post a Comment