Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha yao ya pamoja mapema leo Oktoba 4, 2012 katika Kambi yao iliyopo Hoteli ya Kitalii ya Giraffe Ocean View iliyopo Mbezi Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Warembo hao ambao watapanda jukwaani Novemba 3 kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi hii.
Warembo wakiwa katika pozi mbalimbali. Warembo hao ambao watapanda jukwaani Novemba 3 kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi hii.
Washiriki hao wanaendelea vyema na kambi yao ya maandalizi chini ya Mwalimu Irine Karugama mshiriki wa shindano la Miss Tanzania 2011. Mpenzi wa Sanaa ya Urembo nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment