Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akivishwa
vazi maalum la Kichifu pamoja na kukabidhiwa Mkuki na Chifu Mkuu wa
Kabila la Unyenyembe, Chifu Msagata Fundikira ikiwa ni ishara ya
kumsimika kuwa Chifu wa Kabila hilo, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Mtemi Isike Mwanakiyungi aliefariki Miaka 124 iliyopita.
Sherehe hizo zimefanyika jana kwenye Kijiji cha Itetemya,Mkoani Tabora. |
No comments:
Post a Comment